Mchungaji Mgogo wewe sema huna upako acha kuzunguka mbuyu

Mchungaji Mgogo wewe sema huna upako acha kuzunguka mbuyu

Mara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"

Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.
 
Back
Top Bottom