Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Mchungaji Msigwa ni muongo. Amekiri mwenyewe hadharani. Katika kitabu cha Ufunuo kwenye biblia imeandikwa " Waongo wote sehemu yao ni katika ziwa lile liwakalo moto na kiberiti"...
Maana halisi ya Mwana usinene ukamala ndiyo hii sasaYamejirudia yale ya kubenea na Lowasa.
Kinana ni JANGILI alichokosa Msigwa ni ushahidi wenye mashikoSafari ya kuelekea Lumumba imeanza.
Atafuatia J J Mnyika kumuomba radhi mzee Kikwete kwa kumkosea adabu na kumwita dhaifu!
Awaombe Msamaha na wanaufipa pia hasa wa humu jamvini kwa kuwaingiza mkenge.
Tuombe uzima kushuhudia huko mbeleni namna watakavyokuja kumlilia Magu kama walivyofanya kwa kikwete baada ya kumtukana na kumuita dhaifu.Maana halisi ya Mwana usinene ukamala ndiyo hii sasa
Mkuu huko serikalini wazima?Mbona Chadema walisema ni jangili?
Mkuu huko serikalini wazima?
Nyeti za kuku hahahahangoja tuusubiri upepo maana unavyozidi kuvuma soon nyeti za kuku zitakua nje
Nimeuliza mkuu na wewe unanipachikia swali lingineKwanini
Kwenye ukatibu mkuu uraia pacha upo?Wanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha [emoji3]
Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania
Hapo inawekwa neutral kwa muda kisha wakiisha kusoma uelekeo mpya wanaungia namba 5 moja kwa moja kuifuata bendera.Kumwamini mwanasiasa yakupasa ujitoe ufahamu sana. Sasa hapa wafuasi wao wanaachwa a watupu ila kwakuwa walishauza Uhuru wao watabadili gia n kuendelea kutetea
Yeye alikwambia hamjui mmiliki, sasa wewe unajuaje kama siku ile anasema hivyo alikuwa anamjua tofauti na alivyosema? Wewe unakaa kichwani mwake?..mbona bwana mkubwa alisema UONGO kuwa vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe?
Wakati ukweli ni kwamba vichwa hivyo vilinunuliwa na serikali ya JK?
Bwana mkubwa mpaka leo hajakiri UONGO wake.