Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.

Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi chochote ulichonacho.

Siasa siyo uadui na kutoa ni moyo siyo utajiri.

Heri wenye moyo safi.
 
Wakishindwa hoja basi kwa matusi?! Hawajambo! Changeni mumtoe mwenzenu...
 
Back
Top Bottom