Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

Safi sana siyo wachaga tu wajimilikishe chama alafu kwenye michango hadi sisi wahehe wanataka tuchangie
 
Hiki chama kikienda huko kitakufa.

Asilimia kubwa hiki chama kibabebwa na wachaga. Ni sawa na CUF ilipoondoka Zanzibar.

Ukweli mchungu lakini.
 
Ukabila wao. Itakuwa ngumu kiti kile apewe asiye mchaga. Chama cha mzee kile.
Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.

CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.
 
Chadema wana matatizo. Msigwa kasoma mpaka darasa la ngapi?!
 
Hapana,si wamoja.
Msigwa Peter ni wamoja na Mwendazake
Huamini muulize Gerson alitumwa kupeleka mpunga segerea.
Unadhani nani walikuwa wamoja.
Bwasheee hii ngoma haikuhusu. Ushauri wako peleka Lumumba.
 
Msigwa siyo mnafiki wala mamluki anafaa sana hawezi kukiuza chama .
 

Zamu ya Wachagga imeisha lini hata Wanyalukolo nao watokewe na ndoto ya mchana kama hii?
 
Naunga mkono hoja. Hoja itakuwa imepata mtu ambaye ana akili timamu na anayejielewa, iwapo atatulia, kuacha mihemko, matusi ya lisu (dish limetilt) na siasa za kiunaharakati.
 
Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.

CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.
Isyu siyo Kaskazini au Mashariki. Isyu ni uwezo wa mtu. Mie kura yangu nampa Godbless ana maono, na ni CPA, kuliko Father Yuda Msigwa. Na isitoshe, hii ya Kaskazini mnaitoa wapi, si ni mmoja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…