Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
KabisaMuwaache CHADEMA wajiamulie mambo yao wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaMuwaache CHADEMA wajiamulie mambo yao wenyewe?
Mbona hamtaki tume huru na wakati CHADEMA haina mvuto?Hichi ni kisingizio cha watu walioloose focus. Mkishindwa uchaguzi mnasingizia haukua free and fair. Wakati mliweka mawakala kila sehemu. Chama chenu hakina mvuto, huo ndo ukweli.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Dimondi anawangalia halafu anaimba
"Wataweza kweli aaah wapi,
Kushindana nasi, aah wapi,
hata akiletwa Msigwa, haitawezekana" 🎶🎶
View attachment 1809437
Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.
CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.
na akistaafu mbowe, watasema Bora alivyokuwepo mboweMnajua Mbowe atawaoa? Hamlali kisa Mbowe, basi awaoe awaweke nyumbani kwake. Kelel za Mbowe, Mbowe, Mbowe sasa basi.
Kwani basi mlitupigia kura, si tuliamua wenyewe tushinde wapi na kwa kiasi gani🤸🤣🐒View attachment 1813185Mnachoweza CCM ni kuwatapeli wapiga kura.
Kunajisi uchaguzi hilo haulijui??Hichi ni kisingizio cha watu walioloose focus. Mkishindwa uchaguzi mnasingizia haukua free and fair. Wakati mliweka mawakala kila sehemu. Chama chenu hakina mvuto, huo ndo ukweli.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Bwasheee hii ngoma haikuhusu. Ushauri wako peleka Lumumba.Hapana,si wamoja.
Msigwa Peter ni wamoja na Mwendazake
Huamini muulize Gerson alitumwa kupeleka mpunga segerea.
Unadhani nani walikuwa wamoja.
Msigwa siyo mnafiki wala mamluki anafaa sana hawezi kukiuza chama .Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
Isyu siyo Kaskazini au Mashariki. Isyu ni uwezo wa mtu. Mie kura yangu nampa Godbless ana maono, na ni CPA, kuliko Father Yuda Msigwa. Na isitoshe, hii ya Kaskazini mnaitoa wapi, si ni mmoja tu?Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.
CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.
Hapa1.Lissu
2.Msigwa
3.Sugu
4.Lema