startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Acha matusi utakuwa mlevi wa ulanzi kingan Uyole weweSugu
Mimi naongea experience ninayoijua Mbeya wewe unaleta ushetwani
Ngoja nikwambie nimesoma Mbeya day kipindi Mpesya ni mwalimu pale nikaenda Kibaha high school lakini sijawahi kumkubali huyo Mpesya toka akiwa mwalimu pale
Akachaguliwa kuwa Mbunge nini alifanya zaidi ya kuwanunulia pombe za kienyeji wapiga kura wake na kuwajengea mabanda ya vilabu?
Ndo maana nasema at least Sugu alileta mageuzi pale Mbeya wakamleta Tulia ambaye hakuwa na mpango na Mbeya city alijiweka kwao Rungwe.
Leo mnamwabudu wakati ana mamiradi kibao anafanya kwao huko nyie mmebaki na one way lane mpaka leo