Salaam, Shalom!!
Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, kimeendelea kuonyesha ukomavu wake katika DEMOKRASIA baada ya Mshindi wa pili wa uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ndugu Msigwa kuitisha press na kusema hadharani kuwa hajarishishwa na mchakato wa uchaguzi uliompanushindi sugu hivyo kudhamiria kukata RUFAA.
Amedai Kuna Hila zilitumika kuwaondoa watu waliokuwa wakimuunga mkono hivyo kuchangia kushindwa kwake,
Katika hili nitasimama na Mchungaji Msigwa, Kwa maana Hila hazitakiwi katika chaguzi, HAKI Inatakiwa itawale.
Rai yangu Rabbon ni kuwa CHADEMA iwe makini kuhakikisha HAKI inatendeka na chaguzi zinazoendelea hazikigasi chama kuelekea uchaguzi.
Mungu Mbariki Mchungaji Msigwa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Source: MWENE Online Tv.