Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Viongozi wengi wa CHADEMA ukiondoa Mbowe hawana emotional intelligence na CCM wamekuwa wakinufaika sana na hili.Unaweza ukawa na haki na kweli. Lakini kwa hali iliyopo ambapo CCM/serikali inatafuta upenyo wa kuiua chadema, usingelifanya hivyo. Umewapamaadui wa chadema mahali pa kuania. Unadhani covid 19 sasa hivi wana furaha kiasi gani?
MSIGWA Hapa umekosea.
WACHUNGAJI HAWAFANYI HIVI
Wengi wameshindwa kuondoa harakati katika vichwa vyao lakini harakati bahati mbaya imeondoka katika matendo yao dhidi ya ccm.