Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

Cha ajabu sijamskia Mbowe akimuongelea Msigwa hata siku moja !
 
Kwa bahati mbaya hajibiwi sasa, ndio shida ilipo
 
Sijui mchungaji alidhulumiwaga nini na Freeman Mbowe maana kwa chuki hii aliyonayo hakika tayari ni kikwazo kwake kuuona ufalme wa mbinguni...!

Na bahati mbaya kwake ni kuwa anayemsema wala hata hana time naye, hahangaiki kujibishana naye. HII YA MBOWE NI HEKIMA YA HALI YA JUU SANA...!!
 
kama analamba asali, hautaki msigwa amsanue? binafsi hata kama si mshabiki wa chadema, naamini nilipoteza muda mwingi sana kumwamini mbowe. nchi hii wa kuaminiwa na anayepata shida ya kweli ni mwanasheria Lisu tu. wengine wote njaa na kulamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…