Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji amewehuka hana anachoelewa hivi sasa! Laana ya upasta itamtafuna maisha yake yote!
Sijui mchungaji alidhulumiwaga nini na Freeman Mbowe maana kwa chuki hii aliyonayo hakika tayari ni kikwazo kwake kuuona ufalme wa mbinguni...!Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹
Na ni njaa kweliHuenda anatekeleza takwa la njaa.
kama analamba asali, hautaki msigwa amsanue? binafsi hata kama si mshabiki wa chadema, naamini nilipoteza muda mwingi sana kumwamini mbowe. nchi hii wa kuaminiwa na anayepata shida ya kweli ni mwanasheria Lisu tu. wengine wote njaa na kulamba asali.Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo