Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

Bora usiwe na muda,ila huu ndio ukweli Mwamba Sasa Ndio kaupiga mwizi:kikcongo bhamekula ya mbuzi bhameota mapembe, ndio hii!
acha matusi jukwaani gentleman,
halafu unadanganya na kupotosha wadau kua eti unajieleza kikongo :1Head:
 
Ikitokea TAL akasema anarudi mboga mboga,itakuwaje, gentleman!
Gentleman,
mimi sina haja ya kubabaika na matumizi ya uhuru au haki ya mTanzania mwingine gentleman.

nadhani ni vizuri kila moja atumie haki zake za kikatiba bila mwingine kuona wivi au kua na makasiriko na itapendeza zaidi. Na huo ndio ustaarabu:1Head:
 
Sawa mkuu, Naona unaruka swali, ndio ya msigwa anajikanyaga BBC!
 
Sawa mkuu, Naona unaruka swali, ndio ya msigwa anajikanyaga BBC!
hua siruki kitu gentleman,
lakini pai huwa sijibu kulingana na marking schem ya muuliza swali,
bali natumia zaid political knowledge ile niko nayo kueleza uzoefu wangu katika swali husika:1Head:
 
Mchungaji unaongea hoja lakini tabia zako zinatufanya tusikuamini kabisa...
 
ni kufuru kumfananisha Hayati Nelson Mandela na kibaraka mropokaji, mwenye kiburi na mkiuka sheria kwa makusudi kama huyo muhaini aliebebwa ufala wa kifikra na mabwenyenye ya magharibi :HAhaa:
We kibaraka/chawa wa wauaji, wafiraji, majizi... ungekuwa unatulia wenye akili wakiwa wanajadili hoja
 
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.

Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu ni kiongozi mwenye msimamo na hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo, kwa mtazamo wake, hajalitenda. Aliitaka Serikali imuachie huru bila masharti yoyote.

Kamanda Msigwa ameongea ukweli tupu. MaCCM yame banwa kila kona hayana pa kuchomokea. mapuuzi makubwa!
 
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.

Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu ni kiongozi mwenye msimamo na hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo, kwa mtazamo wake, hajalitenda. Aliitaka Serikali imuachie huru bila masharti yoyote.

In fact ccm is a damn fool!
 
Mahakamani wamemshindwa kisiasa ki harakati kote huko kawakalisha
Lissu ni mwamba mgumu haulipuki hata kwa baluti!
 
Lissu kuwekwa ndani ni mkakati wa ccm,ili Samia na jopo lake wapumue.
Jaribu kuwaza kama LIssu angekuwa nje na aina hii ya uongozi/viongozi wa serikali ? Angewasumbua hadi basi
 
Back
Top Bottom