Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ujue Mbowe alitolewa Gerezani kwa Fedha zilizochangwa na familia ya mchungaji Msigwa akiwemo shujaa Magufuli πŸ˜„
 
Msigwa kamchoka Mbowe...

Tindo zitto junior JokaKuu Kalamu brazaj Rabbon

Chadema inafukuta........
 
Msigwa kamchoka Mbowe...

Tindo zitto junior JokaKuu Kalamu brazaj Rabbon

Chadema inafukuta........
Mbowe asome alama za nyakati, he's no longer untouchable. Sio Lissu, sio Lema hawamuogopi kama zamani ndio maana walimpinga maridhiano hadi wakamuita mamluki. Ni hivi apishe abakie bodi ya wadhamini ila akiendelea kwa lazima basi ajue chama kitamfia mkononi.

Mbowe pumzika baba usiharibu legacy yako kama kina Mbatia na Lipumba
 

Fisiemu ni Fisiemu tu mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe
 
Ni kweli, Chadema inahitaji mabadiliko ya uongozi kwa uhai wake.

Japo michango wa Mbowe mpaka hapa ni mkubwa ila mabadiliko ya uongozi hayaepukiki.
 
Kinu,mzururaji chali
 
Hao watu wooote wanaobweka sasahivi wamshukuru mbowe kwa kuwakaribisha chadema na kuwapata fursa ya kuwa viongozi na wabunge na kuukimbiza umaskini katika familia zao .
 
Chawa wa Mbowe nini huyo jamaa ?
 
Yaani ,kwa vyovyote vile tumchangie MSigwa ili aweze kuendesha mapambano ya kweli dhidi ya MZEE MBOWE na genge lake .
Chadema bila mbowe kuwa mwenyekiti ni TADEA IJAYO.........
Nasimama na mbowe msigwa namkataaaaaaaaΓ aaaaaaa
 
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ noma sana....

Mbowe kageuka Putin wa Chadema...
 
Hizi Siasa za kutiliana sumu kwenye maji
Jamani mnategemewa nyie muwe mbadala ila nchi nzima tule mkate kama mnavyotuaminisha mkishika nchi
Kama na nyie mnaangalia matumbo yenu tu basi yeyote sawa tu
Tutaendelea kula mihogo nyie piganeni
Kabisa chief, wawe na tabia za chama mbadala na sio kutuvuruga wapiga kura wao.
 
Chawa wa Mbowe nini huyo jamaa ?
Yule anatafuna pote, sio kwa baadhi ya viongozi wa CDM tu, pia hata kwa baadhi ya vigogo wa CCM.

Simply anan'gata huku anapulizia kule, na anan'gata kule anapulizia huku, sijui kama umewahi kujiuliza kwanini alimshambulia sana Mange alipomlipua Samia hivi karibuni?

MMM ni mjanja mjanja wa mjini, anaishi kwa kuandika X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…