SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Get to the point. I mean enlighten me.🤔define the word democracy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Get to the point. I mean enlighten me.🤔define the word democracy
Ujue Mbowe alitolewa Gerezani kwa Fedha zilizochangwa na familia ya mchungaji Msigwa akiwemo shujaa Magufuli 😄Lakini huyu msigwa si tuliambiwa alilamba mpunga mrefu ili akatoe ushahidi kuwa ni kweli mbowe alishiriki kwenye ugaidi
Ni bahati tu kusi ilifutwa kabla kuisha
Tungeshuhudia msigwa akimkaanga mwenyekiti wake mahakamani
Lakini huyu msigwa si alipewea fedha ili aunge mkono kuhamishwa wamasai kule ngorongoro
Msigwa alipoteza uaminifu kitambo sana
Msigwa kamchoka Mbowe...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Mbowe asome alama za nyakati, he's no longer untouchable. Sio Lissu, sio Lema hawamuogopi kama zamani ndio maana walimpinga maridhiano hadi wakamuita mamluki. Ni hivi apishe abakie bodi ya wadhamini ila akiendelea kwa lazima basi ajue chama kitamfia mkononi.
Sio Kuna team Lisu Wana gang up dhidi ya team Mbowe
Lisu, Msigwa na Lema walihamia tu kutoka huko vyama vingine akina Mbowe hicho ndicho chama Chao Cha kwanza kujiunga nacho na wamekijenga
Akina Lisu,Lema na Msigwa walikikuta chama tayari kumesimama walipoondoka vyama vyao vya upinzani kuhamia CHADEMA
Sasa hao wahamiaji wanataka kuteka Chama Cha waasisi asilia akina Team Mbowe
Hiyo vita ni kati ya waasisi wa chama waliokipigania Hadi kukifikisha hapo dhidi ya wahamiaji team Lisu wanataka kupora chama
Kama CHADEMA haikuvurugika kipindi Cha Magu aliyedhamiria kuua Upinzani,
Ni kweli, Chadema inahitaji mabadiliko ya uongozi kwa uhai wake.Mbowe asome alama za nyakati, he's no longer untouchable. Sio Lissu, sio Lema hawamuogopi kama zamani ndio maana walimpinga maridhiano hadi wakamuita mamluki. Ni hivi apishe abakie bodi ya wadhamini ila akiendelea kwa lazima basi ajue chama kitamfia mkononi.
Mbowe pumzika baba usiharibu legacy yako kama kina Mbatia na Lipumba
Kinu,mzururaji chali
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Kwako Maranja hakosei!Sema yote Maranja IQ yake ni kubwa sana! Yuko vizuri upstairs!
Adui wa ndani ni hatari kuliko wa nje 😄Kama CHADEMA haikuvurugika kipindi Cha Magu aliyedhamiria kuua Upinzani,
CHADEMA itatoka salama pia katika mvurugano huo.
Retired akiguswa Mbowe anakuwa mkali Sana 😂Kwako Maranja hakosei!
Chawa wa Mbowe nini huyo jamaa ?Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.
Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu chama ajabu viongozi wengine wanamtazama tu.
Huyu kiumbe anaharibu taswira na haiba ya chama, hata kama huwa ana "madini" lakini kama hajui kutenganisha madini yake na matusi hana maana, amegeuka chawa wa baadhi ya viongozi wa Chadema anapewa vocha then anaanza kuropoka hovyo bila breki.
Chadema bila mbowe kuwa mwenyekiti ni TADEA IJAYO.........Yaani ,kwa vyovyote vile tumchangie MSigwa ili aweze kuendesha mapambano ya kweli dhidi ya MZEE MBOWE na genge lake .
Teh teh 😃 😃 😃 noma sana....Kujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.
Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.
Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
Unamaanisha pesa Kutoka Kwa Mama yake Abdul?Adui wa ndani ni hatari kuliko wa nje 😄
Kabisa chief, wawe na tabia za chama mbadala na sio kutuvuruga wapiga kura wao.Hizi Siasa za kutiliana sumu kwenye maji
Jamani mnategemewa nyie muwe mbadala ila nchi nzima tule mkate kama mnavyotuaminisha mkishika nchi
Kama na nyie mnaangalia matumbo yenu tu basi yeyote sawa tu
Tutaendelea kula mihogo nyie piganeni
Yule anatafuna pote, sio kwa baadhi ya viongozi wa CDM tu, pia hata kwa baadhi ya vigogo wa CCM.Chawa wa Mbowe nini huyo jamaa ?
😂😂😂😂Teh teh 😃 😃 😃 noma sana....
Mbowe kageuka Putin wa Chadema...
Namaanisha mchungaji Msigwa ni hatari kuliko shujaa Magufuli 😄Unamaanisha pesa Kutoka Kwa Mama yake Abdul?