Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwako Maranja hakosei!
All men are falible, NO MAN is infalible! Hata Albert Einstein hakuwa that much perfect in terms of science, thinking, and the like! but at the end of the day, he is acknowledged certainly as one of the greatest scientists of all time.
 
umemaliza darasa la ngapi? angalia sentense costruction yako! Kutunga sentensi tulijifunza darasa lakwanza miaka ya 60!
 
expand...
Kweli upinzani ni kazi ngumu sana sasa nimeamini, POVU lote hili kisa kukosa madaraka, sasa si uondoke mbona unaaga, ili uwambwe baki? Acha ushamba nenda mwana kwenda mpenda madaraka wa-hedi eti mchungaji, huyu akikosana na Mungu anaenda kwa Ibilisi.
 
Dr Slaa alifukuzwa na nani?

Msigwa siyo kama Zitto na Kitila mliowafukuza kibwege tu
atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?

Sana sana atahamia CCM, and if this is to be the case, which is very likely, SO WHAT NEXT?
 
Maranja hana akili hizo kama unazotaka kumpamba niamini mimi.....yule mzee wa kugugo mambo kulingana na hoja itakavyokuja/trend pia kuna watu huwa wanamsadia kumpa shule ya jambo husika kwa undani....

Pia hoja zengine huziibua kwenye coments
whatever, he can make his mind and make sense out of rubbish!
 
atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?

Sana sana atahamia CCM, and if this is to be the case, which is very likely, SO WHAT NEXT?
Utaelewa vizuri 2025

Makalla anafukuza mwizi kimya kimya πŸ˜‚
 
Kumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbunge
 
Maranja hajaajiriwa na chama ,ofisini kwa mwenyekiti huwa anafuataga nini kila siku?
 
Kumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbunge
ndio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchi
 
Braza kweli bwana,hata sisi bavichea yan tunamkubali msigwaa
 
ndio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchi
Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanataka
 
Mchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa

Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee 🐼
Msigwa hatamuweza Mbowe. Kama anataka kuondoka aondoke kistarabu tu. Kama kamshindwa sugu atamuweza mbowe? Kushindwa uchaguzi isiwe nongwa akafanya shughuoi nyingine
 
Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanataka
Kaanzishe Cha kwako kipya! Au unadhani kuanzisha chama kipya ni kitu rahisi Kama kwenda chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…