Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwako Maranja hakosei!
All men are falible, NO MAN is infalible! Hata Albert Einstein hakuwa that much perfect in terms of science, thinking, and the like! but at the end of the day, he is acknowledged certainly as one of the greatest scientists of all time.
 
Kw

Kwaiyo baada ya kumfukuza Slaa chadema ilivuna nini chakujivunia mpaka Sasahivi?tulisema humu baada ya chadema kumzunguka Slaa kuwa ndio mwisho wa chadema,haya yanayoendelea ni tree LA movie bado haijatoka iko inaandaliwa na akina Makalla.Kama Mbowe na chadema yake wakivuka uzio mtego huu chama pasipo kugawana mbao kama Nccr ya Mrema kipindi hicho, Mbowe hataitwa mwanaume.hiki chama kunusurika lazima Mbowe hakae pembeni la sivyo hali ya chadema sio mzuri kabisa.
umemaliza darasa la ngapi? angalia sentense costruction yako! Kutunga sentensi tulijifunza darasa lakwanza miaka ya 60!
 

Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
expand...
Kweli upinzani ni kazi ngumu sana sasa nimeamini, POVU lote hili kisa kukosa madaraka, sasa si uondoke mbona unaaga, ili uwambwe baki? Acha ushamba nenda mwana kwenda mpenda madaraka wa-hedi eti mchungaji, huyu akikosana na Mungu anaenda kwa Ibilisi.
 
Dr Slaa alifukuzwa na nani?

Msigwa siyo kama Zitto na Kitila mliowafukuza kibwege tu
atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?

Sana sana atahamia CCM, and if this is to be the case, which is very likely, SO WHAT NEXT?
 
Maranja hana akili hizo kama unazotaka kumpamba niamini mimi.....yule mzee wa kugugo mambo kulingana na hoja itakavyokuja/trend pia kuna watu huwa wanamsadia kumpa shule ya jambo husika kwa undani....

Pia hoja zengine huziibua kwenye coments
whatever, he can make his mind and make sense out of rubbish!
 
atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?

Sana sana atahamia CCM, and if this is to be the case, which is very likely, SO WHAT NEXT?
Utaelewa vizuri 2025

Makalla anafukuza mwizi kimya kimya 😂
 
Mbowe kukaa madarakani muda mrefu isiwe nongwa. CHADEMA bado ni chama kichanga sana, hata kikiongozwa na mwenyekiti mmoja kwa muda mrefu haina shida wakati bado kinajijenga. Ifahamike hakijawahi kushika dola, uongozi ni charisma, curiosive, common sense, communicable, corigious, creative, kama kiongozi hana walau sifa chache hizo apewe uenyekiti wa chama kitamfia mikononi mwake. CHADEMA kama si uongozi wa Mbowe chadema kingeshakufa siku nyingi, kingekuwa sawa na vyama vingine visivyo na nguvu vipo kama havipo na havijulikani kwa wananchi
Kumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbunge
 
Kamati ya nidhamu Chadema imuite athibitishe hayo madai kuwa Maranja anaishi Kwa kulamba miguu ya Mbowe tuhuma nzito hizo Kwa Mbowe na Maranja

Hiyo ni defamation case mawili Mbowe au Maranja waamfungukie kesi Msigwa au hatua za kichama zichukuliwe dhidi ya Msigwa

Lakini napendekeza achukuliwe hatua za kichama
Maranja hajaajiriwa na chama ,ofisini kwa mwenyekiti huwa anafuataga nini kila siku?
 
Kumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbunge
ndio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchi
 
Braza kweli bwana,hata sisi bavichea yan tunamkubali msigwaa
 
ndio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchi
Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanataka
 
Mchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa

Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee 🐼
Msigwa hatamuweza Mbowe. Kama anataka kuondoka aondoke kistarabu tu. Kama kamshindwa sugu atamuweza mbowe? Kushindwa uchaguzi isiwe nongwa akafanya shughuoi nyingine
 
Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanataka
Kaanzishe Cha kwako kipya! Au unadhani kuanzisha chama kipya ni kitu rahisi Kama kwenda chooni.
 
Back
Top Bottom