Ni Kweli,Namaanisha mchungaji Msigwa ni hatari kuliko shujaa Magufuli 😄
Kama Magu alimdhamini ml 30 na Bado akagoma kuunga juhudi, haezi Kutoka CDM!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli,Namaanisha mchungaji Msigwa ni hatari kuliko shujaa Magufuli 😄
Utoto acha .alisema hanajaona hatiaMbowe hawezi kuwa Rais kwa sababu ana kiporo cha KESI ya Ugaidi kwa DPP
All men are falible, NO MAN is infalible! Hata Albert Einstein hakuwa that much perfect in terms of science, thinking, and the like! but at the end of the day, he is acknowledged certainly as one of the greatest scientists of all time.Kwako Maranja hakosei!
umemaliza darasa la ngapi? angalia sentense costruction yako! Kutunga sentensi tulijifunza darasa lakwanza miaka ya 60!Kw
Kwaiyo baada ya kumfukuza Slaa chadema ilivuna nini chakujivunia mpaka Sasahivi?tulisema humu baada ya chadema kumzunguka Slaa kuwa ndio mwisho wa chadema,haya yanayoendelea ni tree LA movie bado haijatoka iko inaandaliwa na akina Makalla.Kama Mbowe na chadema yake wakivuka uzio mtego huu chama pasipo kugawana mbao kama Nccr ya Mrema kipindi hicho, Mbowe hataitwa mwanaume.hiki chama kunusurika lazima Mbowe hakae pembeni la sivyo hali ya chadema sio mzuri kabisa.
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Kweli upinzani ni kazi ngumu sana sasa nimeamini, POVU lote hili kisa kukosa madaraka, sasa si uondoke mbona unaaga, ili uwambwe baki? Acha ushamba nenda mwana kwenda mpenda madaraka wa-hedi eti mchungaji, huyu akikosana na Mungu anaenda kwa Ibilisi.expand...
atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?Dr Slaa alifukuzwa na nani?
Msigwa siyo kama Zitto na Kitila mliowafukuza kibwege tu
whatever, he can make his mind and make sense out of rubbish!Maranja hana akili hizo kama unazotaka kumpamba niamini mimi.....yule mzee wa kugugo mambo kulingana na hoja itakavyokuja/trend pia kuna watu huwa wanamsadia kumpa shule ya jambo husika kwa undani....
Pia hoja zengine huziibua kwenye coments
Utaelewa vizuri 2025atafanya nini? Let us talk as learned people not as laymen. Kwa mfano akifukuzwa atafanya nini?
Sana sana atahamia CCM, and if this is to be the case, which is very likely, SO WHAT NEXT?
Ni wakati sahihi wa kukisafisha chama. Mwenyekiti amekwisha kengeuka.Chadema inafukuta........
Kumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbungeMbowe kukaa madarakani muda mrefu isiwe nongwa. CHADEMA bado ni chama kichanga sana, hata kikiongozwa na mwenyekiti mmoja kwa muda mrefu haina shida wakati bado kinajijenga. Ifahamike hakijawahi kushika dola, uongozi ni charisma, curiosive, common sense, communicable, corigious, creative, kama kiongozi hana walau sifa chache hizo apewe uenyekiti wa chama kitamfia mikononi mwake. CHADEMA kama si uongozi wa Mbowe chadema kingeshakufa siku nyingi, kingekuwa sawa na vyama vingine visivyo na nguvu vipo kama havipo na havijulikani kwa wananchi
Maranja hajaajiriwa na chama ,ofisini kwa mwenyekiti huwa anafuataga nini kila siku?Kamati ya nidhamu Chadema imuite athibitishe hayo madai kuwa Maranja anaishi Kwa kulamba miguu ya Mbowe tuhuma nzito hizo Kwa Mbowe na Maranja
Hiyo ni defamation case mawili Mbowe au Maranja waamfungukie kesi Msigwa au hatua za kichama zichukuliwe dhidi ya Msigwa
Lakini napendekeza achukuliwe hatua za kichama
ndio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchiKumbe ni chama kichanga ehe ,hakistahili hata kuwa na mmbunge
Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanatakandio ni kichanga ukilinganisha na ccm ambocho ni kikongwe. Wananchi wanataka siasa za chama kipya wana shauku na chama kipya kuongoza nchi
Mzee Mbowe amesema kabwe chama hakiacha kwa CHASAKANi wakati sahihi wa kukisafisha chama. Mwenyekiti amekwisha kengeuka.
Msigwa hatamuweza Mbowe. Kama anataka kuondoka aondoke kistarabu tu. Kama kamshindwa sugu atamuweza mbowe? Kushindwa uchaguzi isiwe nongwa akafanya shughuoi nyingineMchungaji Msigwa amesema amekaa Chadema kwa miaka 20 sasa na atahakikisha Tabia ya Mbowe kufukuza wenzake Chamani inakomeshwa
Msigwa kasema Chadema kuna Jasho lake wasimchezee 🐼
Kaanzishe Cha kwako kipya! Au unadhani kuanzisha chama kipya ni kitu rahisi Kama kwenda chooni.Hata mimi naunga uwepo wa chama kipya kwa maana vilivyopi vimekosa kuakisi ni nini watanzania wanataka
Kwani Mbowe Ndiye alianzisha Chadema? 🐼Kaanzishe Cha kwako kipya! Au unadhani kuanzisha chama kipya ni kitu rahisi Kama kwenda chooni.