Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Maranja ni mtu asiye na kazi yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila unawasumbua,anzisheni chama chenu.Mapovu ya nini?Yaani ,kwa vyovyote vile tumchangie MSigwa ili aweze kuendesha mapambano ya kweli dhidi ya MZEE MBOWE na genge lake .
Hizo ni ups and down,Chawa wa Mwenyekiti kila chama wapo,Mbona Ndugai Uvccm walimtukana kwa kuongea ukweli kuhusu mwenyekiti mpk akajiuzulu usipkaMmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Mkuu CHADEMA sio chama Cha Wanachama pekee bali ni chama Cha Watamzania wote na ndio maana wanakula Kodi zetu (ruzuku)Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Sawa, katiba yao inasema ukomo wa mwenyekit ni baada ya muda gani?Mkuu CHADEMA sio chama Cha Wanachama pekee bali ni chama Cha Watamzania wote na ndio maana wanakula Kodi zetu (ruzuku)
Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibanaSawa, katiba yao inasema ukomo wa mwenyekit ni baada ya muda gani?
Alitoka Zito Kabwe mwenye ushawishi ndani na nje ya Tanzania Chadema ilisimama imara.Akatoka Lijuakali,Silinde na Joshua Nassari bado CHADEMA ilizidi kunawiri.MAGUFURI,MAHERA,BISWALO NA NDUGAI wakawahonga Halima Mdee,Esther na Esther Bulaya pamoja na wale wanawake wengine ubunge na pesa bado CHADEMA iliendelea kunawiri.Dah yameshakuwa hayo tena ya mwaga ugali, nimwage mboga.
CDM ndio bye bye tena
Safi, sasa kama katiba yao ambayo inasema hivyo na iko wazi,kwanini unaumia ili hali wanafuata katiba yao? Katiba haina uko na ilikuwa hivyo toka mwanzo,sasa shida ni nini hapo?Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
Demokrasia ya kuweka Viongozi wabovu wa kuuza utu wao hiyo siyo Demokrasia.Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
Aaahaaa
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Kama swala la kutokuwa na ukomo ingekuwa ni tatizo basi chama kisingesajiriwa. Demokrasia ni pamoja na kufata katibaKatiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
😂 So demokrasia ni ile ya kumuweka mtu kama Jiwe madarakani au siyoDemokrasia ya kuweka Viongozi wabovu wa kuuza utu wao hiyo siyo Demokrasia.
Kukuzidi wewe mkuu?CHADEMA imejaa vijana wa hovyo sana .
usinifananishe mimi na vijana wa CHADEMA itakuwa ni kunidhalilisha.Kukuzidi wewe mkuu?