Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niko pale nikingoja kuona mwisho wa hiyo saccos.
 
Msigwa athibitiwe kabla hajaharibu taswira ya chama zaidi. Akubali kushindwa na si kuanza kurusha shombo kwa wenzake
 
Hizi Siasa za kutiliana sumu kwenye maji
Jamani mnategemewa nyie muwe mbadala ila nchi nzima tule mkate kama mnavyotuaminisha mkishika nchi
Kama na nyie mnaangalia matumbo yenu tu basi yeyote sawa tu
Tutaendelea kula mihogo nyie piganeni
 
Mmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.

Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Hizo ni ups and down,Chawa wa Mwenyekiti kila chama wapo,Mbona Ndugai Uvccm walimtukana kwa kuongea ukweli kuhusu mwenyekiti mpk akajiuzulu usipka

😀😀
 
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Mkuu CHADEMA sio chama Cha Wanachama pekee bali ni chama Cha Watamzania wote na ndio maana wanakula Kodi zetu (ruzuku)
 
Dah yameshakuwa hayo tena ya mwaga ugali, nimwage mboga.

CDM ndio bye bye tena
 
Dah yameshakuwa hayo tena ya mwaga ugali, nimwage mboga.

CDM ndio bye bye tena
Alitoka Zito Kabwe mwenye ushawishi ndani na nje ya Tanzania Chadema ilisimama imara.Akatoka Lijuakali,Silinde na Joshua Nassari bado CHADEMA ilizidi kunawiri.MAGUFURI,MAHERA,BISWALO NA NDUGAI wakawahonga Halima Mdee,Esther na Esther Bulaya pamoja na wale wanawake wengine ubunge na pesa bado CHADEMA iliendelea kunawiri.
 
Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
Safi, sasa kama katiba yao ambayo inasema hivyo na iko wazi,kwanini unaumia ili hali wanafuata katiba yao? Katiba haina uko na ilikuwa hivyo toka mwanzo,sasa shida ni nini hapo?
 
Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
Demokrasia ya kuweka Viongozi wabovu wa kuuza utu wao hiyo siyo Demokrasia.
 

Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Aaahaaa
 
Katiba Yao haina ukomo na Hilo nikosa kubwa kwa chama kinachojinasibu kuwa Cha demokrasia ilihali ndani ya chama demokrasia wameibana
Kama swala la kutokuwa na ukomo ingekuwa ni tatizo basi chama kisingesajiriwa. Demokrasia ni pamoja na kufata katiba
 
Back
Top Bottom