Sio Kuna team Lisu Wana gang up dhidi ya team MboweCHADEMA ipi?
Inalazimu sasa kupambanua ukizungumzia CHADEMA. Inaonekana kuwa sasa hivi kuna CHADEMA (Mbowe); na CHADEMA ya wanachama?
Lisu, Msigwa na Lema walihamia tu kutoka huko vyama vingine akina Mbowe hicho ndicho chama Chao Cha kwanza kujiunga nacho na wamekijenga
Akina Lisu,Lema na Msigwa walikikuta chama tayari kumesimama walipoondoka vyama vyao vya upinzani kuhamia CHADEMA
Sasa hao wahamiaji wanataka kuteka Chama Cha waasisi asilia akina Team Mbowe
Hiyo vita ni kati ya waasisi wa chama waliokipigania Hadi kukifikisha hapo dhidi ya wahamiaji team Lisu wanataka kupora chama