Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA ipi?
Inalazimu sasa kupambanua ukizungumzia CHADEMA. Inaonekana kuwa sasa hivi kuna CHADEMA (Mbowe); na CHADEMA ya wanachama?
Sio Kuna team Lisu Wana gang up dhidi ya team Mbowe

Lisu, Msigwa na Lema walihamia tu kutoka huko vyama vingine akina Mbowe hicho ndicho chama Chao Cha kwanza kujiunga nacho na wamekijenga

Akina Lisu,Lema na Msigwa walikikuta chama tayari kumesimama walipoondoka vyama vyao vya upinzani kuhamia CHADEMA

Sasa hao wahamiaji wanataka kuteka Chama Cha waasisi asilia akina Team Mbowe

Hiyo vita ni kati ya waasisi wa chama waliokipigania Hadi kukifikisha hapo dhidi ya wahamiaji team Lisu wanataka kupora chama
 
Fomula yako ina kasoro.

Ondoa COVID-19 iweke inakohusika
Mbowe + COVID-19 = CCM + Samia.
COVID 19 ndio waasisi na waliojenga CHADEMA sio hao akina Msigwa, Godbless Lema Lisu na Mnyika na hao Team Lisu wahamiaji Toka vyama vingine vya upinzani kujiunga Chadema
 
1. Kama alifukuzwa Slaa, huyu ni mtu mdogo sana. Msigwa nilikuwa namwamini sana kumbe vijitu vifupi ni mavi matupu.

2. Atapewa ubunge na Covid 19

3. Clip hii ameisambaza maranja, hivyo si ajabu kuikuta hapa. Haina impact yoyote kwa chadema.

4. Mwisho Maranja ni mtu na nusu. IQ yake ni kubwa , any normal reasoning person ataiona hiyo aiba from his publications!

5. Nadhani ulipoipata clip hii uliona umeleta bonge la habari wakati kule tweeter Maranja aliipost muda mrefu tu!
Dr Slaa alifukuzwa na nani?

Msigwa siyo kama Zitto na Kitila mliowafukuza kibwege tu
 
COVID 19 ndio waasisi na waliojenga CHADEMA sio hao akina Msigwa, Godbless Lema Lisu na Mnyika na hao Team Lisu wahamiaji Toka vyama vingine vya upinzani kujiunga Chadema
Unajua Kinara wa COVID 19 Halima Mdee kajiunga Chadema lini? 🐼
 
Fomula yako ina kasoro.

Ondoa COVID-19 iweke inakohusika
Mbowe + COVID-19 = CCM + Samia.
Sawa mkuu. Lkn nilikusudia kusema kuwa muunganono wa Msigwa, Lisu na COVID-19 utazaa chama cha upinzani chenye nguvu kama Umkhonto We Sizwe
 
COVID 19 ni Chadema na watabaki Chadema Hawana shida na ugomvi na Mbowe

Wenye ugomvi na Mbowe ni team Lisu hiyo ya akina Msigwa,Lisu,Godbless Lema na Mnyika
 
Kujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.

Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.

Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
Komredi Nchimbi na Makalla wanakimbiza mwizi kimya kimya dadeki 😂😂😂😂
 
Chama hiki kimenziaa kazkasini msigwa asahau kuwa mwenyeki Bora ametoka mapema vinginevyo angeuwawaa kwa ajali Kali snaa
 
Sio Kuna team Lisu Wana gang up dhidi ya team Mbowe

Lisu, Msigwa na Lema walihamia tu kutoka huko vyama vingine akiona Mbowe hicho ndicho chama Chao Cha kwanza kujiunga nacho na wamekijenga

Akina Lisu,Lema na Msigwa walikikuta chama tayari kumesimama walipoondoka vyama vyao vya upinzani kuhamia CHADEMA

Sasa hao wahamiaji wanataka kuteka Chama Cha waasisi asilia akina Team Mbowe

Hiyo vita ni kati ya waasisi wa chama waliokipigania Hadi kukifikisha hapo dhidi ya wahamiaji team Lisu wanataka kupora chama
Umeongea point kubwa sna hata mm Hili silikubali
 
Kw
1. Kama alifukuzwa Slaa, huyu ni mtu mdogo sana. Msigwa nilikuwa namwamini sana kumbe vijitu vifupi ni mavi matupu.

2. Atapewa ubunge na Covid 19

3. Clip hii ameisambaza maranja, hivyo si ajabu kuikuta hapa. Haina impact yoyote kwa chadema.

4. Mwisho Maranja ni mtu na nusu. IQ yake ni kubwa , any normal reasoning person ataiona hiyo aiba from his publications!

5. Nadhani ulipoipata clip hii uliona umeleta bonge la habari wakati kule tweeter Maranja aliipost muda mrefu tu!
Kwaiyo baada ya kumfukuza Slaa chadema ilivuna nini chakujivunia mpaka Sasahivi?tulisema humu baada ya chadema kumzunguka Slaa kuwa ndio mwisho wa chadema,haya yanayoendelea ni tree LA movie bado haijatoka iko inaandaliwa na akina Makalla.Kama Mbowe na chadema yake wakivuka uzio mtego huu chama pasipo kugawana mbao kama Nccr ya Mrema kipindi hicho, Mbowe hataitwa mwanaume.hiki chama kunusurika lazima Mbowe hakae pembeni la sivyo hali ya chadema sio mzuri kabisa.
 
Mbowe kukaa madarakani muda mrefu isiwe nongwa. CHADEMA bado ni chama kichanga sana, hata kikiongozwa na mwenyekiti mmoja kwa muda mrefu haina shida wakati bado kinajijenga. Ifahamike hakijawahi kushika dola, uongozi ni charisma, curiosive, common sense, communicable, corigious, creative, kama kiongozi hana walau sifa chache hizo apewe uenyekiti wa chama kitamfia mikononi mwake. CHADEMA kama si uongozi wa Mbowe chadema kingeshakufa siku nyingi, kingekuwa sawa na vyama vingine visivyo na nguvu vipo kama havipo na havijulikani kwa wananchi
 
Mkuu kama hujui Ccm siku zote wanataka kuweka mamluki wao Chadema, kama Mbowe asingekuwa imara Chadema na TLP wangekuwa sawa. Ndiyo maana kila siku Mafisiemu ndiyo yanapiga kelele kuwa Mbowe atoke. Lakini Chadema wenyewe wameridhia aendelee kuwaongoza
Kama Upinzani ni Mbowe tu wengine wote hawana ubavu wa kupambana na CCM basi tunasafari ndefu
 
Je tume ya usajiri wa vyama vya siasa inaruhusu jambo hilo? Kuwa chama kibadilishe katiba yake kinyemela?
Kama unakumbuka vizuri Moja ya ugomvi wa kina kitila, Mwigamba na Zitto ni hicho kipengere Hilo ni swala la ndani ya chama mwisho wa mambo chama kilikaa kama kamati wakalimaliza hovyo msajiri anakuwa hana nguvu yoyote katika maamuzi yenu
Ila kumbuka wajumbe wengi waliamua haya kwa nguvu ya Mwenyekiti
Je tume ya usajiri wa vyama vya siasa inaruhusu jambo hilo? Kuwa chama kibadilishe katiba yake kinyemela?
 
Sio Kuna team Lisu Wana gang up dhidi ya team Mbowe

Lisu, Msigwa na Lema walihamia tu kutoka huko vyama vingine akina Mbowe hicho ndicho chama Chao Cha kwanza kujiunga nacho na wamekijenga

Akina Lisu,Lema na Msigwa walikikuta chama tayari kumesimama walipoondoka vyama vyao vya upinzani kuhamia CHADEMA

Sasa hao wahamiaji wanataka kuteka Chama Cha waasisi asilia akina Team Mbowe

Hiyo vita ni kati ya waasisi wa chama waliokipigania Hadi kukifikisha hapo dhidi ya wahamiaji team Lisu wanataka kupora chama
Unayosema hapa yanaweza kuwa kweli, na nadhani ni kweli.
Lakini chama hakiwezi kuwa mali ya kundi moja, kwa vile tu kundi hilo ndilo lililo kianzisha. Inapokuwa hivyo, hicho hakiwi tena chama, bali ni mali ya kundi hilo.

Kwa maana hiyo, kama Mbowe bado anaona anayo haki miliki ya chama, miaka yote hii, basi hapo hakuna chama cha siasa.
 
COVID 19 ndio waasisi na waliojenga CHADEMA sio hao akina Msigwa, Godbless Lema Lisu na Mnyika na hao Team Lisu wahamiaji Toka vyama vingine vya upinzani kujiunga Chadema
Dhana yako hii nimekwisha kujibu.
Kuanzisha chama cha siasa, siyo kuwa mmiliki wa chama hicho. Chama ni cha wanachama wailomo ndani ya chama hicho, siyo mwenyekiti, siyo COVID-19, au mwasisi yeyote yule.
Kwa hiyo, wanachama ndio wenye mamlaka juu ya chama. Kama hao wanachama wataona baadhi ya wahamiaji ndio wanaofaa kukiongoza chama, basi na iwe hivyo, na siyo kwa sababu waasisi hawataki.
 
Sawa mkuu. Lkn nilikusudia kusema kuwa muunganono wa Msigwa, Lisu na COVID-19 utazaa chama cha upinzani chenye nguvu kama Umkhonto We Sizwe
Tatizo na fomula yako ni kwamba haiwezekani COVID-19 wakawa kwenye sehemu ulipo waweka wewe. Kwa hiyo huwezi ukapata uMkonto weSizwe kwa namna yoyote ile.
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Mbona sijasikia kuwa ni Maranja.
 
Lakini hizi sauti si zinatengezwa bwashee?
 
Lakini huyu msigwa si tuliambiwa alilamba mpunga mrefu ili akatoe ushahidi kuwa ni kweli mbowe alishiriki kwenye ugaidi
Ni bahati tu kusi ilifutwa kabla kuisha

Tungeshuhudia msigwa akimkaanga mwenyekiti wake mahakamani

Lakini huyu msigwa si alipewea fedha ili aunge mkono kuhamishwa wamasai kule ngorongoro

Msigwa alipoteza uaminifu kitambo sana
 
Back
Top Bottom