Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!
Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Lissu naye tutampiga buyu la asali akifika tu airport, then lisaa limoja kabla ya kupanda jukwaani tunampa bapa moja la konyagi, baada ya hapo ni kupamba tu ilani ya CCM.
Wewe ni mlamba asali wa kijani, ila unataka kumfanya Mshana jr mtoto etieee?Bob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.
Onesha kupevuka kwako. Sikuwahi kuwa mshabiki wa Magufuli na nlipaswa nimchukie kwa sababu alinizuilia pesa zangu nyingi sana bank. But i let it go. Ni vyema kuachana na kivuli chake. Leteni sera sasa tumechoka habari za magufuli na awamu ya 5. Chadema ina nini kipya?
Jembe tena???Jembe linarudi.
Mpiga spana anarudi.
Msomi, mjuzi na mjuvi wa sheria anarudi.
Mnamsifia sana lissu ila na yeye mchumia tumbo tu🤣🤣🤣🤣Ndio maana kwenye familia yake kuna watu wana uraia wa marekaniChuma kinarudi.
Chadema karibuni ccm tule matunda ya uhuru pamoja!!!Karibuni sana🤣🤣🤣Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.
Chanzo: Clouds TV
Akifika na yeye analamba asali kama brother🤣🤣🤣🤣Chuma kinarudi.
Ni Tanzania ambapo msaliti anafanyiwa home coming.
Rwanda walishavuka huu ujinga
Mkewe umekuja na hasira zote.... Haya mambo ungewaachia wanaume. Si kila jambo mwanamke unaweza changia.Wewe ni mlamba asali wa kijani, ila unataka kumfanya Mshana jr mtoto etieee?
Naona huu uwenyekiti unawakera wengi.Huyu ndiye anayefaa uenyekiti CHADEMA.
Lissu Kwa sasa ni kijana wetu wa CCM subiri j5 ndo utaamini atakavyo isifu ilani yetu-acha uduanzi, Lissu hamuwezi kujibu hoja zake.
Sawa kaka [emoji23]Kaka usimchafue Kiongozi Mkuu wa Malaika
Pole.. Usiumie sanaRoho haiozi
Hata Wewe wakikupasua utumbo mkubwa watakuta uozo kibao japo unatembea Barabarani full perfume!
Pole.. Usiumie sanaRoho haiozi
Hata Wewe wakikupasua utumbo mkubwa watakuta uozo kibao japo unatembea Barabarani full perfume!
Ngoja tuone " Wanachama wenzangu wa CCM"Msiyempenda anakuja. Msiyemtaka anakuja. Mnayemhofia anakuja. Chagueni kusuka au kunyoa!
Wewe usiyejua unatembea na vilivyooza utumboni mwako ndio usiumie bali ukazane kuchangia mchango wa Matundu ya Vyoo hapo Mtambani!Pole.. Usiumie sana
Mdogo wangu upo seriously kweli na siasa za Tanzania????!!!🤣🤣🤣🤣🤣CCM unaijua au huijui??????Lissu aogopwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msiyempenda anakuja. Msiyemtaka anakuja. Mnayemhofia anakuja. Chagueni kusuka au kunyoa!
Ngoja tuone " Wanachama wenzangu wa CCM"
Kaona DJ amelamba asali mpaka imelewesha sasa nayeye akaionje...Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.
Chanzo: Clouds TV
Ndio sababu aliwaita Wanachama wa CCM!Chawa mnapongojea tambueni kuwa alipo tupo. Habari ndiyo hiyo.