Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.

Neno
 
Bob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.

Onesha kupevuka kwako. Sikuwahi kuwa mshabiki wa Magufuli na nlipaswa nimchukie kwa sababu alinizuilia pesa zangu nyingi sana bank. But i let it go. Ni vyema kuachana na kivuli chake. Leteni sera sasa tumechoka habari za magufuli na awamu ya 5. Chadema ina nini kipya?
Wewe ni mlamba asali wa kijani, ila unataka kumfanya Mshana jr mtoto etieee?
 
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.

Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.

Chanzo: Clouds TV
Chadema karibuni ccm tule matunda ya uhuru pamoja!!!Karibuni sana🤣🤣🤣
 
Msiyempenda anakuja. Msiyemtaka anakuja. Mnayemhofia anakuja. Chagueni kusuka au kunyoa!
Mdogo wangu upo seriously kweli na siasa za Tanzania????!!!🤣🤣🤣🤣🤣CCM unaijua au huijui??????Lissu aogopwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.

Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.

Chanzo: Clouds TV
Kaona DJ amelamba asali mpaka imelewesha sasa nayeye akaionje...
Akifika tu moja kwa moja magogoni kama DJ
 
Back
Top Bottom