Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

😁😁kazi kweli kweli
 
Yaani kadri unavyokaa JF unagundua hata wale watu ambao ulidhani wangekuwa na busara kumbe hawana....🤣 Kauli watu wanazotoa zinawavua nguo sana. Hakuna Binadamu atabaki milele duniani.
Hivi kuna Kauli mbaya kama za kushabikia Tundu Lisu apigwe afe?
 
Kaka karibu CCM tuupige mwingi🤣🤣
 
Sasa mbona alishughulikiwa na mgogo mmoja tu?
 
Yaani kadri unavyokaa JF unagundua hata wale watu ambao ulidhani wangekuwa na busara kumbe hawana....[emoji1787] Kauli watu wanazotoa zinawavua nguo sana. Hakuna Binadamu atabaki milele duniani.
Kwa hiyo Kiongozi akitoa mtu uhai huwa ni busara, yeye akifa siyo busara aheshimiwe?
 
Yaani kadri unavyokaa JF unagundua hata wale watu ambao ulidhani wangekuwa na busara kumbe hawana....🤣 Kauli watu wanazotoa zinawavua nguo sana. Hakuna Binadamu atabaki milele duniani.
Kabisa mkuu.

Hata kama ni chuki basi hii imepitiliza sana mkuu.

Akuwa kiongozi asiye kuwa na mazuri au mabaya lakini tunajiamanisha alikuwa na mabaya tu, halafu tunajisahau dunia ni mapito, mbele yake nyuma yetu.

Na ndio maana tunapewa tuliopo duniani kuwaombea wasamehe yale mabaya yao na tunakumbuka mazuri yao,ila kwa Mwandamizi kama yule akupaswa kuongea yale kabisa.
 
Mabeberu hawana Rafiki wala adui wa kudumu, wamemtibu Lisu na sasa wanaturejeshea!
Mzilankende alikuwa na marafiki na maadui wa kudumu. Wako wapi kina Ben, Mawazo, Azory au Lijenje? LIssu ilikuwa azikwe wapi?

Kwake hata mabeberu walikuwa maadui zake wa kudumu. Akawe mshauri wa nani?
 

Anamsubiri kwa hamu
 

Ipo tofauti ya kubaki duniani au kuondoka duniani na kuondoa wengine duniani. Hapo ndipo ulipo mzizi wa fitna.

Wako wapi kina Lijenje Azory Ben au Mawazo?

Waliotaka kumwondoa Lissu tunalipi la kuwashangilia nalo?

Kulikoni kujifanya kuwa nyie ndiyo pekee mlio na huruma au kujali leo Chizi Maarifa ndugu misasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…