😁😁kazi kweli kweliBob huwa nadhani wewe ni mtu wa busara. Msiruhusu kauli hizi za chuki ziwatale. So waliopo wote hai ni watu wasio na ubaya na Lissu? Epuka mihemko mshana wewe huwa nahisi una umri flani wa kupevuka.
Onesha kupevuka kwako. Sikuwahi kuwa mshabiki wa Magufuli na nlipaswa nimchukie kwa sababu alinizuilia pesa zangu nyingi sana bank. But i let it go. Ni vyema kuachana na kivuli chake. Leteni sera sasa tumechoka habari za magufuli na awamu ya 5. Chadema ina nini kipya?