Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hawa kuna kipindi walitaka kushikana mashati mbele za watu, ila sasaivi wanakula kwenye sahani moja. hii ndio siasa.Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana 😂😂
Kwako Mzee Mgaya