chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Sasa chadema tunaenda kuaibishwa, Mungu apishie mbali, huyu alikuwa kiongozi wetu mkubwa sana, na anajua mambo ya uvunguni mwa chamaUsipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana 😂😂
Kwako Mzee Mgaya