Pre GE2025 Mchungaji Msigwa na MNEC Kasesela kuunguruma Iringa Mjini 20/07/2024, wataelezea Mabaya yote ya CHADEMA mkoani hapo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July

Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo

Ahsanteni Sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwako Mzee Mgaya
hawa kuna kipindi walitaka kushikana mashati mbele za watu, ila sasaivi wanakula kwenye sahani moja. hii ndio siasa.
 
OMG, huyu si mchungaji ana kanisa la kizungu kabisa pale Iringa?

Washirika wake watamuamini kweli kumpa hata siri za ndoa , siku wakihama si atawatangaza?
Peter Msigwa hana Kanisa alikuwa anafanya Ibada pale Cates hotel kwa Ras!
 
Wengine wanajadili jinsi ya kupeleka astronauts wakakae kwenye mahandaki kwenye mwezi, sisi tunasubiria Msigwa akaeleezee mabaya ya CHADEMA. Ni aibu.
 
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July

Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo

Ahsanteni Sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwako Mzee Mgaya
Mwanamke akiachwa na mwanaume husema mabaya yote na hata yale ambayo mwanaume hana,mara mume wangu hajui mapenzi,ana uume mdogo,ni jambazi,ni mwizi,ni bahili,hatoi hata hela ya matumizi nk.
 
Anajidharilisha mnoo,hata kama ni njaa imevuka mipaka.
kama njaa, wote wana njaa, hata mbowe na timu yake wana njaa ndio maana wapo tayari kulamba asali na kuendelea kuwadanganya wabongo waandamane kwa ajili yao. wote wale wale tu. msigwa anatafuta pesa, na mwobwe anatafuta pesa.
 
hapa mwishoni si alijenga kanisa kihesha mbele ya iringa university unapoelekea dodoma. kuna kibao cha kanisa lake. though pamoja na kuwa na kanisa bado kashfa za kiburi na kufumua nje ya ndoa ameendelea kuwa nazo.
Loh, anapiga watoto wa Chuo RUCO au anajipigia "kondoo zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…