Baba mkwe Msigwa naye jau sana,bora sikuoa binti yake niligonga tu,siku zote mwanaume ukipata hela wekeza kwanza jamaa anapenda sana mbususu tena zile za gharama huyu haoni wenzake kina sugu waliwekeza yeye akawa anatoo......dah basi tu niishie hapo.
Mradi wa mke wake huo toka kitambo sana haufikii wa boni yai lakini.huyu mwamba tatizo ni pesa wala haichukii chadema.
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana ππ
Kwako Mzee Mgaya
Sikujua Iringa kama ina watu wajinga kiasi hicho, Chalamila, Msigwa, Kasesele na yule mama MbungeUsipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana ππ
Kwako Mzee Mgaya
Mapandikizi hayo.Unakumbuka enzi za Jiwe baada ya watu wa CHADEMA kwekwa ndani Magufuri alimtolea hela ili atoke.Yaani mwezi juzi agombee wenyeliti ashidwe leo eti anaeleza mabaya. Kwanini alikuwa anagombea wenyekiti hayo mabaya alikuwa hayafahamu. Au ukweli ni kwamba alikuwa pandikiziπ€
Mbunge miaka 10 kaishia Carwash pekee?Ana kamradi kake ka kuosha magari.
Kuku hawastawi kwa malayamalaya.Akili zao ziko tumboniπ€£π€£π€£π°ππ€£ππ€£
So far ataongea yale yale ambayo alikwisha kuongea awali ajifunze waliondoka watu wazito na maisha yakaendelea nae amtumikie kafili apate ujira wake lakini ajue usaliti unarudi kwa anaeufanya kama alishindwa kuendelea kua mwanachama sasa aje agombee huku ndio atajua hajui kirusi komeondokaUsipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana ππ
Kwako Mzee Mgaya
Kati ya vitu vya kipumbavu Ccm wana fanya ni kuifanya chadema kama sera yao.Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana ππ
Kwako Mzee Mgaya
Kwahiyo matatizo na kero za kimaisha kwa Watanzania-Umasikini,Ujinga na Maradhi..mmeyamaliza!?Sasa adui ni CHADEMA?!...Mnalaana nyie..mb.wa..Yes, lazma tuifute CHADEMA.
Kweli hao majamaa ni mbwa matatizo lukuki yanayoikumba nchi hii wameshindwa kuyakabili ila wanapambana na CHADEMA ambayo haihusiki kwa jambo lolote.Kwahiyo matatizo na kero za kimaisha kwa Watanzania-Umasikini,Ujinga na Maradhi..mmeyamaliza!?Sasa adui ni CHADEMA?!...Mnalaana nyie..mb.wa..