Mchungaji Msigwa: Nimejifafakari, nimetafiti na nimechunguza na kujiridhisha kuwa Tanzania iko salama chini ya Rais Samia na CCM haina mbadala!

Shughuli ya hilo tambara itaisha. 2025....litatafutwa tena kwa matumizi baada ya miiaka mitano wakati wa kutafuta uzazi mwingine.
Kama bado litakuwepo!
 
Yani hiyo ni " Mama Mbona umanisahau...nipoo".

Njaa ni LAANA..
 
Vipi kwenye haya mabadiliko ya Mawaziri hakukumbukwa?
 
Usiseme Mchungaji Msigwa sema Chawa Msigwa. Lini ulimuona madhabahuni? Huyo ni mhuni tu kama wahuni wengine huko CCM.
 
Tuliwaambia chadema mapema kama UCHAGA ukiwaacha Salama basi Udini na kuendekeza MAASKOFU kwenye CHAMA chao utawamaliza,wanavuna sasa walichokipanda.
Mkumbusheni chura kiziwi amkumbuke japo kwenye ukuu wa wilaya . By the way , endeleeni kuteka na kuwapoteza wapinzani, ndicho mnachoweza kukifanya kwa mafanikio kwa Sasa .
 
Kwani nchi ni ya ccm, Chadema au wananchi!? Kama wananchi ndio wanaamua nani awaongoze, maamuzi yao yaheshimiwe, sio huu upumbavu wa chaguzi zenu za kiini macho .
 
Ameshashibishwa lazima atetee tumbo lake.
 
Siku mjombake akibinywa PUMBU ataelewa
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1719911395141.jpg
    48.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…