Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Shughuli ya hilo tambara itaisha. 2025....litatafutwa tena kwa matumizi baada ya miiaka mitano wakati wa kutafuta uzazi mwingine.Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM china ya Uongozi wa Dr SSH. Kwa sasa hakuna chama kingine cha siasa kinaweza kuwa mbadala wa CCM.”
Mchungaji Msigwa ameandika Ukurasani X
Kama bado litakuwepo!