Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mtu pekee aliyekataa unafiki alikua ni Dr. Slaa.
Alimsema Lowasa kuwa ni Fisadi. Na akasimamia maneno yake hata alipoingia Chadema bado msimamo wake ukawa ni kwamba Lowasa ni fisadi na hafai kuwa Rais hata kupitia chama chake.
Ulikua ni msimamo wa mtu miadilifu haijawahi kutokea katika siasa za Tanzania .

Ni kweli kuwa Chadema kuna Tatizo kwenye uongozi na itawasababisha wasiweze kupata nafasi ya kuongoza nchi.
Hata wakishinda kura zao zitaibwa tena kwa nguvu ya dola kama kawaida na hakuna kitakachotokea kama hawataona tatizo.

Ni wazi kuwa ndani ya chadema kuna watu wamejimilikisha nafasi na kila anayewapinga anaonekana ni msaliti .

Hilo jina laUsaliti litawacost sana chadema.

Jina la Usaliti limesababisha Msigwa aondoke Chadema mana alijua kuwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ni ya kwake ya kudumu na kila atakayejaribu kigombea nafasi hiyo ataonekana ni msaliti.
Matokeo yake Sugu akashinda na Msigwa akaona chama kimekaa kimya Msaliti amechukua nafasi yake. Yaani hata Heche akiamua kugmbea nafasi ya uenyekiti Taifa ataonekana nisaliti na Akishinda basi Mbowe atahamia CCM. Au akishindwa atatulanwa kama Sumaye kuwa ni msaliti alijaribu kukiua chama na ameshindwa.

Bahati Mbaya sana Kuwa Mwenyekiti na Katibu mkuu wanalea dhana hiyo itakayokiua chama.

Mwenyekiti akisema kuwa fulani ni Msaliti basi vita yote itahamia kwa huyo mtu.

Chama kinakosa Sura mpya kama kipindi cha Dr. Slaa. Hatuoni vijana wa vyuo vikuu wakijiunga kwa wingi kama enzi za Dr. Slaa.
Sababu yake ni nini ? Bila shaka ni hofu na kuhodhi chama.

Tukubali tukuwa bado ndani xa CCM kuna hazina ya viongozi wasiokubaliana na ifisadi unaoendelea. Ni watu wazoefu na wenye uwezo mkubwa wa kisiasa. Je, tuendelee kuwaita wasaliti na kukataa kuwapokea na kuwatumia katika kuleta ushindi kwenye uchaguzi ujao.

Je, hofu ya Mbowe kumwacha Lisu afanye mikutano kushirikiana na Msigwa ilikua ni ipi?

Kuwaacha watu wajimilikishe chama au ukanda au jimbo matokeo yake yanakuwa ni mtikisiko mkubwa anapohama waliyedhani ni mpambanaji

Hii nchi ukikaa kweny kivuli umetuliq na kupata maji makubwa ....huku ukitafakari utagundua hivi vyama viliwi vinajuana kindak ndaki na vipo hapo kuwapumbaza wananchi
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
bado mpaka waseme na hawajasema
 
Sasa huo uwongo wa chadema utatusaidia nini sisi

Ova
 
Jamaa kajipatia ajira kiutani utani tu.. Kuzunguka nchi nzima kueneza porojo, ndani ya V8, atalipwa na maisha yatakwenda. CCM wangemkataa huyu mchumia tumbo, ila kwa kupenda Uzandiki watamkumbatia what a nonsense.
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
kama mtu mwenye maadili ya kichungaji,ambaye anajua fika kuwa kulaghai watu ni dhambi,
si hapa duniani tu bali hata mbinguni. Alitakiwa kuyasema haya kabla ya kupoteza nafasi yake ya uongozi ndani ya chadema. Kitendo cha kusubiri ashindwe kwenye uchaguzi ndo aje kuyasema haya kinatupa kujua kuwa ni mwongo
na ni miongoni mwa watu wanaowadharau watanzania kwamba hawawezi kuwatambua kwa ulaghai wao.
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
bora umeepuka kuwa mnafiki kwa kuikumbatia chadema hicho siyo chama ni genge la walanguzi watafuta kula ruzuku Erythrocyte
 
He's just proving what he's. Sasa akishazunguka nchi nzima akasema Chadema ni waongo na wakati anaowaambia wanajua naye ni mwongo, atakuwa amefanya nini? Labda sanasana atakuwa ametumia hela ambazo zingetumika katika maendeleo kuzunguka nchi nzima for nothing.
 
Ngoja wamtumie baadaye wamlambishe sumu afe halafu waseme ni Chadema.
 
Kwanini aligombea kanda ya nyanda juu kusini huku akijua hakuna demokrasia kama sio unafiki?tunajua angemshinda Sugu ngonjera hizo anazotoa zingekuwa kinyume chake.Tanzania ina watu wa hovyo sana!
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Hivi kweli ukienda kule kwetu Koromije kuna mtu anayemfahamu Msigwa ....!? CCM hapa wamelamba ghalasha. Ni kama kumsajili Marshal wa Man United at this stage .....!!
 
Ila Mh Mbowe nae inakuwaje anajua kabisa kwamba adui anatumia udhaifu wa yeye kukaa madarakani muda mrefu na bado anang'ang'ania?mambo mengine ni very fikirish!
 
Wewe pimbi unakumbuka Chadema ikivyokuokota ulikuwaje? Hao mambuzi wamekutamani baada ya Chadema kuku shape,jiangalie uwe na akiba ya maneno
 
Attachments

  • FB_IMG_1719903155204.jpg
    FB_IMG_1719903155204.jpg
    51.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1719903252490.jpg
    FB_IMG_1719903252490.jpg
    26.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom