Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM imeshasema Peneza na Msigwa watakuwa Viungo washambuliaji 😀😀Ahakikishe wanaenda na Upendo Peneza, maana wote kila siku wana mazito ya CDM.
Money speaks louder than wordsKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadem...
Nimecheka kwa nguvu vibaya. Viungo washambuliaji kisha mnawalisha maneno ya kuongea! Kwa bahati mbaya wamehamia chama kilichopoteza mvuto, kimebaki kutegemea nguvu za dola.CCM imeshasema Peneza na Msigwa watakuwa Viungo washambuliaji 😀😀
Kwa kuwa yapo makusanyo mapya wala hakuna tatizo najua inawezekana ila useme uongo wa ndugu zako wapya wazamani achana nao kwa kua umeshaamua kujitenga nao.Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.
Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.
Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadem...
CCM ni Chama Cha MataahiraNdio maana CCM ikaitwa chama cha mambuzi, maana hawana akili hata kidogo.
Tarehe 10/6/2024 ? Hivi bado viroba bado vinapatikana huko?Hii ndio Taarifa ya kada mpya wa CCM komredi mchungaji Msigwa
Kwamba baada ya Kupokea mialiko lukuki ya Vyombo vya habari sasa atamwaga mboga tarehe 10/06/2024 mwembetogwa Iringa mjini
Makamanda Wote mnakaribishwa
Msigwa ametoa Taarifa ukurasani X
Mlale Unono 😀😀🔥
Awezeshwe maana yake anaomba fungu kwani hizo bilioni alizolipwa kama signing fee zimekwisha mara moja hii? Huyu andunje atachezeshwa mayenu na Makalla kama kile kikaragosi cha Joyce Wowowo.Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.
Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.
Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Siku zote usifanye maamuzi makubwa ya maisha ukiwa bado na hasira.
Hii ya Msigwa ni sawa na ‘John Shibuda’ baada ya kuchezewa foul 2010 kura za maoni CCM na kwenda CDM, aikuwa kutoka moyoni bali hasira tu.
Ndio Msigwa ata uso wake mbele ya CCM ni kama vile mtu ambae aamini anachokifanya mule ndani, damu yake ni CDM.
Ni muda wa kuondoa genge la wahuni CDM wanaozuia chama kukua.
kwaiyo uko alikoenda nduo kusafi amna ufisad kuna democrasia? yn mwanasias akikwambia saiz usiku toka nje ukataxame usimwamn bnafs siamn km mwanasiasa anaez kukultea mwananch maendeleo instead of tumbo lake na familia yke ajenge mansion kwanza aibe ad zimtoshe ndio anafkilia maendeleo ya wananch walomchaguaKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema