Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema itazunguka nchi nzma kueleza usaliti wa msigwa, shida iko wapi? Abdul alimlambisha hela ,.....itawekwa wazi soon
Nilivyosikia Msigwa anafadhiliwa na Asas wa ccm kugombea Chadema ndio nilijuwa Tanzania imezungukwa na matapeli.

Hivi huo uenyekiti wa Nyasa una nini kilichojificha ambacho wengine hatukijui?
 
Kama mwanamke akikaa ma mume miaka 20, kosa dogo waachane, Kama atatoa Siri zao za ndani ili kumchafua mume wake ajue yeye ndio anajichafua na hata huko atakako olewa wanajua kwamba huyu hazimo na hatuwezi kumpa Siri zetu maana ya kesho hayajulikani.
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kwahiyo ccm ndiyo kuna ukamilifu?Inamana hayo anayolalamikia ccm hayapo?Inamana wakati anawasema ccm juu ya mambo haya alikuwa muongo?Akisha isema vibaya Chadema uchumi wetu utapaa? Zitto alishazunguka sana na amesema mengi kuhusu Chadema lakini chama kipo palepale.Kwa jinsi ccm inavyoiogopa Chadema basi tuhuma hizi zingekuwa za kweli ccm kwakupitia msajili wa vyama vya siasa wangekuwa wamesha iadhibu Chadema.Msigwa amefata uteuzi tu,maana hali ya kiuchumi Kwa Sasa siyo nzuri kwake.
 
Nilivyosikia Msigwa anafadhiliwa na Asas wa ccm kugombea Chadema ndio nilijuwa Tanzania imezungukwa na matapeli.

Hivi huo uenyekiti wa Nyasa una nini kilichojificha ambacho wengine hatukijui?

..azunguke nchi nzima kudai Tume Huru, na Katiba Mpya, kwa kutumia majukwaa ya CCM.
 
Naku
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Nakuuliza swali wewe mkuda nani zaidi ya zito au msigwa
 
..kuna video clip inamuonyesha Msigwa akisoma nini cha kusema toka ktk makaratasi yaliyoandaliwa na Amos Makala.

..yaani Msigwa amekuwa zuzu wa kupangiwa nini cha kusema na Mwenezi Makala that is very sad to see.

Hata wewe ukiingizwa kwenye kundi la majambazi leo, ni lazima itakulazimu kupewa shule na majambazi wazoefu. Ndicho anachofanyiwa Msigwa kwa sasa.

Watamwelekeza pia jinsi watakavyomsaidia ili Kanisa lake Msigwa liwe na waumini wengi, na waumini wote wawe maboga ya CCM.
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter

Kwamba Ccm sikuhizi kunahaki sana na hayo mengine yote?Daaa sikutegemea kwa mtu kama Msingwa.Hapa ndio sasa naamini Mbowe ni mtu Makini katika kukisimamia Chama.Na awe tu mwenyekiti wa milele kwa staili ya watu kama hawa.
 
Jamaa anaenda kuimaliza Chadema, ana siri zote za hicho chama
 
Hata wewe ukiingizwa kwenye kundi la majambazi leo, ni lazima itakulazimu kupewa shule na majambazi wazoefu. Ndicho anachofanyiwa Msigwa kwa sasa.

Watamwelekeza pia jinsi watakavyomsaidia ili Kanisa lake Msigwa liwe na waumini wengi, na waumini wote wawe maboga ya CCM.
Kwa hiyo kwa ufupi yupo "Junior course/Orientation course "!😂
 
Hivi Msingwa anadhani sisi wananchi ni wajinga hadi tumuamini? Yeye aendelee tu kufanya mikutano yake inayoandaliwa na ccm. Watu wakibebwa kwenye mafuso, toka eneo moja hadi jingine 🤔
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Screenshot_20240702-082655.png
 
Tutaanika na picha mwambie alianzishe
 
Kwa hyo option aliyo kuwa nayo ni kuungana na hao mafisadi ya CCM kwa sababu ndani ya chadema kuna mafisadi? Ningemuelewa kama angeamua kuachana na siasa kabisa lakini siyo kuungana na CCM
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---

"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.

Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.

Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Sjajua nseme nn ila kiukwl Tz syo nch waweza kusema tupo sriaz na utaifa ila tupo kwa maslai yetu bnafs kwan msigwa kama kwl anamn mchakato wa democrasia kushndwa au kushnda kupo bc alivyo pgwa chn kwny kanda bc angekubali mchakato wa wauchaguz sasa ajakubali alaf anaenda upande wapil kuponda kaz yake ya zaman iv duh tunakaz kwl ya kufka safar ya matumain Tz pekee ndyo mtu anaamn nkfeli nmelogwa n hyo tu sna meng lakn!
 
Mbowe aache kumsema Magufuli..aende akadhuru kaburi..huyu msigwa alikuwa babyboy wa mbowe .anajua siri nyingi za mbowe na chadema..hii si hali ya kawaida.
mwambieni mama abduli amjazie mafuta azunguke nchi nzima tukutane jukwaani msigwa ni empty set
 
Back
Top Bottom