johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.
Nukuu ya aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa baada ya kujiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM.
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima kuwaambia wananchi usanii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao viongozi wa juu wanawaaminisha wananchi vile ambavyo hawako, na ni kitu kibaya sana.Tunaongea mambo ambayo hatuyaishi, tunaongea kuhusu demokrasia; ndani ya chama (CHADEMA) hakuna demokrasia, tunaongea kuhusu ufisadi; ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki; ndani ya chama hakuna haki. Tusimame tukiwa wasafi, na mimi nafsi imenisuta kuwadanganya wananchi kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni mbaya wakati sisi ni wabaya, ni wabaya wabaya zaidi"- Mch. Peter Msigwa.