Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya kumtukana Magufuli itawatafuna ChademaKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
Siasa Tamu SanaKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
Kayasema haya!Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
wengi wa viongozi wa chadema waliwahi kusema hayati lowassa ni fisadi na baadaye wakabadili kauli, unadhani kuna tofauti na anachokisema mchungaji?Uongo wake au wa CHADEMA?
Huyu jamaa mtu akikusanya clips zote alizosema kuhusu CCM wakati akiwa CHADEMA unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti. Aliwahi kusema siku akienda CCM, watu wachome nyumba yake. Aliwahi kusema CCM ni akili ndogo na katu hawawezi kuleta maendeleo. Ni mengi sana, nashangaa hata huko CCM wanawezaje kukaa naye hata dakika tano.
Sawa kwahiyo mama abdul kamjazia full tank, walikwepo wakapita naye viyohvyoKada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
Credit Jambo TV
My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
msigwa ni debe tupuAsisahau jinsi Tapeli la Kichaga linakula ruzuku na vimada wake
Aeleze jinsi mbowe anaejifanya doni anavyowaibia Chadema
Kila la heri Msigwa
Yule bwege analala kwa boni yai anasaka kiki kibwege sana
ngoja aanze kuzunguka clips zake zote tutaziweka hewani..wiki iliyopita Msigwa alikuwa anawaambia wananchi Ccm imewapelekea umasikini, leo anataka kugeuza kauli yake?
..Je, Msigwa atakwenda kuwashawishi wananchi kwamba umasikini wao umesababishwa na Mbowe au Chadema?
..Huyu bwana amepotoka. Msigwa alipaswa kutafuta chama kitakachompa platform ya kusema yale aliyokuwa akisema alipokuwa Chadema. Sio chama kitakachomlazimisha ayakane yote aliyoyaamini na kuyasema kwa miaka 20+ na yakampa umaarufu, na uongozi.
Kisa kaondoka msaliti?Laana ya kumtukana Magufuli itawatafuna Chadema
Kiukweli msigwa kachemsha.Upendo peneza airtime yake imeshaisha sanhizi yupo anapelekewa omoto
Sasa ni zamu ya msigwa kupata airtime ya mda kabla kabla hajatulia na kuanza kuimba nyimbo za anaupiga mwingingi
Jamaa alikua anaona wivu jinsi lissu anavyozunguka na yeye katamani, anadhani garama za kukusanya watu wa ccm wajae kwenye mkutano wake ni ndogo?
Ni Msigwa yule yule aliyekuwa anagombea uenyekiti wa kanda ya Nyasa? Afadhali hawakumchagua!! Nashindwa kupata picha ingekuwaje mwenyekiti ndani ya chama kinacho simamia asiyo yaamini. Chama kinachodanganya Watanzania!! Ama kweli kama kuna watu watamsikiliza nitaamini kuwa aliyewaloga alishakufa!!..Msigwa atazunguka nchi nzima kueleza uongo wake, au uongo wa Chadema?