Uchaguzi 2020 Mchungaji Msigwa rasmi kutangaza nia Dodoma hotel Jumapili 14 Juni

Uchaguzi 2020 Mchungaji Msigwa rasmi kutangaza nia Dodoma hotel Jumapili 14 Juni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1592071660732.jpg

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
 
Hiko ndiyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo.........

Siyo kile chama kingine, wakisikia tu fununu mtu anataka kuchukua fomu, kupambana na Jiwe, anafukuzwa kwenye Chama!
Safi. Huko Urais poa tatizo jaribu Uenyekiti. Waliojaribu wote mwaka huu wako nje ya fensi sasa.
 
Kosa la Jakaya kulazimisha Monica Mbega aendelee kuwa Mbunge badala ya Mwakalebela ndio lilimuibua Huyu Mchungaji feki
Mwakalebela kilichomkuta 2015 hatokisahau kudadeki zake ! aishukuru Yanga kwa kumsitiri
 
Jamaa mnamuona kama anaigiza,ila anaongeza cv.
Utasikia yuko u.s.a kapewa kazi ya maana, baada ya kukosa ubunge 2020
 
Hiko ndiyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo.........

Siyo kile chama kingine, wakisikia tu fununu mtu anataka kuchukua fomu, kupambana na Jiwe, anafukuzwa kwenye Chama!
Mmmh na huko nako ukijipitisha pitisha kwenye uenyekiti coco beach inakuhusu na jiwe la kilo 10 shingoni . Mweeee
 
Back
Top Bottom