Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa ni habari nyingine, hata Uenyekiti wa Kanda aliokuwa nao sio hadhi yake,huyu anafaa kuwa kiongozi wa Kitaifa,mtafutieni nafasi huko juu akijenge chama.
 
A pot calling a kettle black. Uchaguzi wa Kanda tu hamuwezi kuuendesha bila figisu halafu mnapata wapi moral authority ya kulaumu?

Uchaguzi wa Kanda tu Msigwa analia Pambalu anaweweseka kwa madai ya hujuma.
Bora yetu sisi huku tumeshazoea kuanzia serikali ya mtaa hadi urais.

Fomu ya mgombea tunatoa moja tu.

Mtu anaweza kupata kura nafasi ya 3 tunabadilisha anakuwa mshindi.

Tkija kwenye mixer huku idadi ya kura inadhidi ya waliopiga kura.
 
Tutawaunga sana mkono!
Ila tambueni Kuna mambo CCM wanayafanya huku mtaani.!
Leo J5 nikiwa kibaruani kwangu dukani I lala! Wakaja watu wana fomu za kujaza eti tunaratibu maoni kuelekea uchaguzi 2024 na 2025.

Je ni kinaendelea nyuma ya pazia!

Kuweni makini kumbukeni upuuzi uliofanywa 2020 hakufanya Magu JPM peke yake.
Namheshimiwa yuko kukopa kwenda mbele hizo ndio za kupiga!!! Nawaza itakuwaje!!
 
Wewe mwenye akili endelea kuota.Matamanio na uhalisia ni mambo mawili tofauti kabisa.
Uko huru kuendelea kuota.Njozi njema.
Hivi mwenye chama ni Mbowe, au wanachama wa CHADEMA?
Hao wanachama wakisema wanataka hivyo, Mbowe atawafukuza wote abaki na chama chake ili afanye anavyo penda yeye?

Haya ni maswali nimekuuliza wewe. Nijibu tu kwa utulivu.
 
Hao watu wamejitambulisha kuwa wao ni akina nani, au wametumwa na nani?

Hukuwahoji chochote?
 
Peter kama Msigwa
 
Hivi mwenye chama ni Mbowe, au wanachama wa CHADEMA?
Hao wanachama wakisema wanataka hivyo, Mbowe atawafukuza wote abaki na chama chake ili afanye anavyo penda yeye?

Haya ni maswali nimekuuliza wewe. Nijibu tu kwa utulivu.
Tui la nazi litatoa jibu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…