Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Mfumo wa kumlamba lamba mbowe miguu ili upate nafasi ni WA hovyo vile vile,Sasa tuchague kipi na tuache kipi?
Hawa wavimba macho wanajifanya hawajui ukweli.Time will tell.Hakuna wa kum challenge Mbowe Chadema.
Baada ya muda ukweli utadhihiri.
 
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini amesema kuwa "Ikitokea Mkurugenzi hamridhiki naye mkitaka kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa mpaka Rais aamue, hata madiwani kama mnataka kumtoa uwezo hamna wa kumtimua mpaka Rais aamue”

Mnalazimishwa kulipa kodi, mnapeleka Halmashauri. Mbunge mliyemchagua awatetee hana uwezo kwasababu mkurugenzi anapata amri kutoka kwa Rais, hii ni akili au Matope?

Huu ni mfumo kandamizi na wa kikoloni ndiyo maana huwa mnasikia maelekezo kutoka juu kwa sababu Rais amamteua Jaji Mkuu, ukiwa na kesi Rais anaweza kumwagiza Jaji Mkuu peleka taarifa mpaka mahakama ya Wilaya hawa walioshtakiwa wafungwe, hakimu anaweza kumbishia Jaji Mkuu?
Well said huyu ndiyo Msigwa ninaye mjua
 
Chagua kwa Umakini 2025

Weka alama ya [X]CHADEMA

Weka alama ya [✓] CCM

Kwa vurumai zilizopo CHADEMA kunashiria vurumai kwa Taifa na Usalama wake.

CCM peke yake ndie yenye utulivu ndani ya chama chake.
 
Baada ya kukandamizwa kwenye uchaguzi wa kanda sio, ameanza kubwekabweka :pedroP:

Viongozi wasimamizi wa uchaguzi wa kanda yake si walimwambia wamwpewa malekezo kutoka juu au alisemaje ndungu zango, tena yeye mwenyewe kwa kinywa chake:pedroP:

Kwani yeye Msigwa na wenzie alikua ana uwezo wa kumkataa au kimtoa msimamizi wa uchaguzi kule nyasa?, si mpaka mwenyekiti aamue:pedroP:

Kama mwenyekiti Taifa hajaamua yule yule atasimamia uchaguzi na ikawa hivyo pamoja na mabarua kibao aloandika ya kulalamikia rafu za uchaguzi:pedroP:
Mngekua mnajibu hoja husika tungeamini angalau tuna viongozi wa maana ,ndugu mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom