Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Mfumo wa kumlamba lamba mbowe miguu ili upate nafasi ni WA hovyo vile vile,Sasa tuchague kipi na tuache kipi?
Hawa wavimba macho wanajifanya hawajui ukweli.Time will tell.Hakuna wa kum challenge Mbowe Chadema.
Baada ya muda ukweli utadhihiri.
 
Well said huyu ndiyo Msigwa ninaye mjua
 
Chagua kwa Umakini 2025

Weka alama ya [X]CHADEMA

Weka alama ya [✓] CCM

Kwa vurumai zilizopo CHADEMA kunashiria vurumai kwa Taifa na Usalama wake.

CCM peke yake ndie yenye utulivu ndani ya chama chake.
 
Mngekua mnajibu hoja husika tungeamini angalau tuna viongozi wa maana ,ndugu mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…