Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

Hiyo hela kachambie,shetani hajawahi kua malaika toka dunia iumbwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pia kumbuka Mungu ni wa wote,a
ngalia usianze kufiwa Wewe kabla Yake. Pia hiyo Tabia ya kwenda kumsaidia ndugu yenu huku mmebeba na makamera siyo Tabia ya kihehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kushirikiana tu na watesi wake kunathibitisha wazi kuwa undugu sio kufanana.

Afadhali kabisa mkae na hiyo hela mliopewa huko ccm kwenda kutumia kama kichocheo cha kuanza kujadili bei hadi sasa mmeumbuka. Nyie jiuzeni tu kwa bei poa.
 
Mpaka unakuja kuandika hapa inaonyesha una ajenda nyuma yako,kama ni ndugu yako kwanini usimpigie Simu kumweleza hiyo kero yako au kwanini usiende kumwambia? Inamaana ndugu yako tangu atoke jela hujaenda kumpa pole au mpaka mjipange tena na vymbo Vya habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msigwa ni wa kitaifa kama alivyo JPM lolote linaweza kumgusa linahusu wananchi wote, kwann hamkuchanga kwenye akaunti ya chadema? hamuoni kuwa huo ni ubinafsi?
 

Wewe ni ndugu mnafiki sana....

Badala myazungumze huko nyumbani kwenu kindugu kwa unafiki wako unaleta ishu ya kifamilia kwenye public....

Hili tu linathibitisha kuwa hata huo mchango haukutoka kwa wanandugu bali mmeungana na shetani kutaka kumdhalilisha ndugu yenu...!!

By the way, mlishasikia kabisa kuwa WANAFAMILIA KUBWA KULIKO YENU - UMMA WA TANZANIA walikuwa wanachanga kumtoa ndugu yenu, ikawaje mkaji - isolate?

Mlitaka ku - achieve nini? Je, hamkuona kuwa ingekuwa ni busara sana mchango wenu mngeuweka pamoja na ile ya Watanzania wengine ili kuunganisha nguvu ili akatolewe na wenzake??

Nimewadharau sana nyie ndugu hasa wewe uliyejituma kuleta hoja hii inayohusu mambo ya kifamilia kwenye mitandao ya kijamii....

Mmeonesha waziwazi UNAFIKI na UBINAFSI wenu wa kujitenga na kujipenda wenyewe tu....!!
 

Kama ni kweli kwanini mambo ya kimila yaletwe kwenye mitandao na siasa. Mambo ya kimila hata malalamiko ya kindugu ni huko huko mnamaliza
 

Acha pumba wewe
 
Pumbafu sana..kwanza wewe sio ndugu yake Msigwa wa damu..
 
Kama mambo yako hivi ninaweza kuamini kuwa katika familia yenu mwenye akili ni mbunge Msigwa peke yake, Msigwa hakuna mahali popote aliposema hatambui mchango wa familia, anachokipinga ni namna ya uwakirishaji wa mchango wenyewe ambao ulikuwa katika mfumo wa kujitafutia kiki na upande mwingine ule ulikuwa ni udhalilishaji kwa familia ya akina Msigwa. Wakati wa kuomba msaada mambo yote yalifanyika kwa siri kama mambo ya kifamilia,hakuna aliye utangazia umma kuwa familia ya akina Msigwa imeomba msaada kwa mwanafamilia mwenzao,kama msaada wenyewe ulikuwa hauna hila ndani yake, kwanini isiendelee kuwa siri hata katika utoaji wa msaada wenyewe?.

Chama kilikuwa na utaratibu wake wa namna ya kukusanya michango kwa kila mtu, kama siyo hila zao zinawasumbua akina Polepole walishindwaje kufuata utaratibu uliowekwa na chama hata kama lengo lao ilikuwa ni kumlipia Msigwa mwanafamilia mwenzao, kwanini wasiwakirishe michango yao mahali husika na kueleza hivyo kuwa mchango wao ni kwa ajili ya Msigwa ambaye ni mwanafamilia mwenzao?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…