Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

Na Polepole mlimshirikisha wa nini kwani nae ni ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ni nduvu yenu ila mmefanya jambo la upuuzi kunitenga na kwenda kwa kichaa Magu kutudhalilisha familia nzima.
 
Wewe na Msigwa undugu wenu ni wa kutafuta kwa tochi, acha kujipendekeza
 
Luvanda acha udalali wa binaadamu, mchango wa wanandugu iweje usimamiwe na CCM? Mlikosea kumchukua mnunuzi kwenda naye gerezani mkamkabidhi mali. Polepole si mtumishi wa serikali hivyo hana mamlaka ya kumwakilisha rais, na kama usemavyo msaada wa wanafamilia CCM si sehemu ya familia yenu, wanafamilia mlishindwa kuaminiwa kumsindikiza ndugu yenu! Luvanda ulitaka kumkabidhi mnunuzi mzigo na malalamiko yako yanaonesha huenda mlikubaliana kukabidhiana mzigo ndani ya gereza lakini dili likabuma, Luvanda mfungwa anapotoka hupokelewa nje siyo ndani ya gereza hivyo usitudanganye sisi.
 
Kuna TAARIFA za msingi umezikosa mpaka ukaamua kuyazungumza haya, nakushauri zitafute hizo taarifa kisha andika tena... Kumbuka pia siyo kila kitu ndugu watakusaidia, tena ndugu walivyo na masimamgo acha tu!


Kitu cha uhakika ambacho ndugu wanaweza kukusaidia labda kukuzika tu.
 

nenda kamsemee kwa baba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Fvck ccm!

Fvck Luvanda Ngurusavangi Msigwa whatever the name is!

Go to hell and relaxx!
 
Msigwa yuko sahihi. Hata Kama Magu alikuwa busy Basi angempa Huyo Kaka Yake na Msigwa. Kidogokidogo/polepole kaingiaje hapo. Ndipo alipokosea Magu!
Kinachojitokeza hapa ni kwamba Kidogokidogo kaingia sana kwa sababu kalipa sana. Wao 2 Kidogokidogo kilicho kikubwa 38.
 
Polepole anaundugu gani na nyie mpaka mkae kama familia mumwombe awasindikize kumpokea Msigwa.
 
Kinachojitokeza hapa ni kwamba Kidogokidogo kaingia sana kwa sababu kalipa sana. Wao 2 Kidogokidogo kilicho kikubwa 38.
Kidogokidogo hahusiki Wala hakupaswa na angekataa. Magu kama alikuwa Hana nafasi basi mama Jesca angechukua hukumu siyo kupeleka kwa slowslow
 
Bangi za Lumumba zinakusumbua
 
Ila unadhani alikuwa serious pale kwenye MIC tu,naamini lazima baadaye atakuwa kampigia Magu simu kamwambia pale nilikuwa nafanya usanii😁😁😁
 
Sidhani kama Msigwa kwa akili zile akawa na ndugu kilaza ni ngumu sana sema labda wakufikia...
 
Siku hizi nikiwa na stress natafuta thread za kipuuzi za CCM hahahaha, naishia kufurahi tu
 
Hivi nyinyi mnaochonganisha watu mnatumiwa na Nani na mnalipwa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…