Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.