Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

Unatakiwa uwe tayari kubadilika pale unapokutana na ukweli mpya. Msigwa amefuata vizuri njia hii. Kuendelea kushabikia CDM huku unaona wazi kinaenda tofauti na msimamo wake wa awali ni upumbavu na usaliti.
Msigwa ni zaidi ya chumia tumbo
 
CCM walituambia kuwa MAGUFULI ni mzima anachapa kazi mnataka mmuone anazurura sokoni? Matokeo yake ilikuwa nn! Muongo ni muongo tu ni hulka na tabia ya mtu. Wala siyo chama. Na bado unayodanganywa na CCM ni mengi sana haujajaliwa kuyaona Kwa macho ya nyama
Ccm ni matapeli tu
 
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.

Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.

Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.

Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?

Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?

Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Hivi aliwaambieni kuwa amedaka $ 500,000. toka kwa Abduli?
 
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.

Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.

Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.

Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?

Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?

Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Hayo mengine kwa wanasiasa ni kawaida.
Ila ambalo SIYO LA KAWAIDA KWANGU NI PALE MWANAUME UNAPOAMUA KUWA UBAO WA MATANGAZO KWA KUMTANGAZA BINADAMU MWINGINE HASA ASIYEKUWA NA UNDUGU NA WEWE NA KIBAYA ZAIDI NI WA KIKE.

UNAFIKI,UKATILI NA USHIRIKINA HIVI VIGEZO HUWEZI KUVITENGANISHA NA MWANASIASA.
Wewe unacho shangaa kwa Msigwa ni hicho cha kwanza. Na kama hauna hivyo vigezo vitatu basi kwenye siasa wewe ni unatumiwa kama ngazi ya kupandishia wenye hivyo vigezo.
 
Nakumbuka enzi hizo ni mhudhuriaji mzuri kanisani, kulitokea uchaguzi wa viongozi.
Kulikua na mwenyekiti anaetetea nafasi yake, uchaguzi ukaisha kwa yeye kupigwa chini.
Alikasirika sana yule bwana, alihama hadi kanisa, huko alikoenda akapewa cheo akatulia kwa muda.

Muda wa utumishi wa hicho cheo ulipoisha akaacha kusali.

Wachumia tumbo wapo kila pahala
 
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.

Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.

Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.

Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?

Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?

Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Huyu ni mchungwani si mchungaji
 
Mnisamehe lakini, samahani tena na tena, kwetu zamani hizo wakizaliwa vijitu vifupi kama hivi walikuwa wanavinyonga huko huko "labour room"
 
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.

Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.

Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.

Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?

Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?

Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Pole umesahau tumbo lilimponza Esau? Miye nimekaa na wahehe wengi,ni kwamba wako baadhi yenu ni wanafiki sana. Huyu Msigwa ni miongoni mwao wale wanafiki na wasio na aibu,na wapo wahehe ambao ni majasiri sana na hao ni type ya kina Mkwawa, hawa hawezi kulamba matapishi yao ndio hao wa kujinyonga. In short Msigwa is there for his stomach. Kwamba Chadema imechafuka sana baada ya kifo cha JPM!! Ogopa sana mnafiki,waswahili wanasema ni afadhari ya mchawi,miye naona ni bora angefikiria kuanzisha chama au kutafuta chama kingine cha upinzani na viko vingi hata kama ni dhaifu akijenge si ana uzoefu!! Mtu aliyewahi kutamka ccm wana akili ndogo, leo ameingia huko huko,je bado manaamini huyu ana akili kweli, na ccm na akili zenu kama alivyosema huyo Msigwa mnachekelea!!!
 
Per capita,Chadema ina viongozi wengi wendawazimu kuliko CCM
Nakubaliana na wewe kwa💯 mkuu, sababu chanzo cha uwendawzimu ni akili, hauwezi ukawa mwendawazimu kama haujawahi kuwa na akili timamu.
CCM hawajawahi kuwa na akili watakuwaje wendawazimu, na hiyo ndiyo salama yao, CCM wote ni kama Robot Eunice
 
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.

Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.

Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.

Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?

Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?

Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Aliyehama na waliobaki bado wote ni wadanganyifu tu. Msigwa anaongelewa kwa kuwa amehama chama lakini kuna waliobaki walidanganya kuhusu ufisadi na mpaka wakataja lakini baadaye wakashirikiana na hao mafisadi.
 
Kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida pindi mtu akihama chama kimoja kwenda chama cha pili.

Mfano mzuri ni pale marehemu Lowasa alipo hama ccm akaenda cdm watu wa ccm walimponda sana mzee Lowasa kwa kumtukana matusi Makubwa.

Lkn mwisho wa siku aliporudi ndani ya ccm hao hao waliokuwa wanamtukana wakaanza kumuimbia nyimbo za mapambio.
 
Pole umesahau tumbo lilimponza Esau? Miye nimekaa na wahehe wengi,ni kwamba wako baadhi yenu ni wanafiki sana. Huyu Msigwa ni miongoni mwao wale wanafiki na wasio na aibu,na wapo wahehe ambao ni majasiri sana na hao ni type ya kina Mkwawa, hawa hawezi kulamba matapishi yao ndio hao wa kujinyonga. In short Msigwa is there for his stomach. Kwamba Chadema imechafuka sana baada ya kifo cha JPM!! Ogopa sana mnafiki,waswahili wanasema ni afadhari ya mchawi,miye naona ni bora angefikiria kuanzisha chama au kutafuta chama kingine cha upinzani na viko vingi hata kama ni dhaifu akijenge si ana uzoefu!! Mtu aliyewahi kutamka ccm wana akili ndogo, leo ameingia huko huko,je bado manaamini huyu ana akili kweli, na ccm na akili zenu kama alivyosema huyo Msigwa mnachekelea!!!
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Dogo nikukumbushe tu. Njaa ni mbaya hakikisha unafanya kazi Kwa bidii kuepuka janga la njaa.
Njaa ikishakuwa Kali mambo yanaharibika. Ndo kimemkuta huyo umuitae mchungaji
 
Back
Top Bottom