Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

Msigwa amekubwa na pepo la njaa na anaweza hata kuachia mtrrrrrkkkqqq ili apate hata uDC. Mjinga sana cant ypu deal with your own things sio kila siku kuongelea alikotoka tu ingali ndiko walikomlea na kumkomaza kisiasa? Have some.respect Msigwa.
 
Tayari
 
Attachments

  • 20240807_141729.jpg
    26.7 KB · Views: 1
Msigwa amekubwa na pepo la njaa na anaweza hata kuachia mtrrrrrkkkqqq ili apate hata uDC. Mjinga sana cant ypu deal with your own things sio kila siku kuongelea alikotoka tu ingali ndiko walikomlea na kumkomaza kisiasa? Have some.respect Msigwa.
Msigwa hana tofauti na mchumia tumbo yeyote na sidhani kama analitendea haki hilo jina la Mchungaji
 
Asante kwamba ametoka CHADEMA angeharibu sana Chama.
 
Unatakiwa uwe tayari kubadilika pale unapokutana na ukweli mpya. Msigwa amefuata vizuri njia hii. Kuendelea kushabikia CDM huku unaona wazi kinaenda tofauti na msimamo wake wa awali ni upumbavu na usaliti.
 
Chadema ni genge la waongo walituambia lowassa ni fisadi na mwizi then wakamleta apewe uraisi!
CCM walituambia kuwa MAGUFULI ni mzima anachapa kazi mnataka mmuone anazurura sokoni? Matokeo yake ilikuwa nn! Muongo ni muongo tu ni hulka na tabia ya mtu. Wala siyo chama. Na bado unayodanganywa na CCM ni mengi sana haujajaliwa kuyaona Kwa macho ya nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…