Msigwa ni zaidi ya chumia tumboUnatakiwa uwe tayari kubadilika pale unapokutana na ukweli mpya. Msigwa amefuata vizuri njia hii. Kuendelea kushabikia CDM huku unaona wazi kinaenda tofauti na msimamo wake wa awali ni upumbavu na usaliti.
Ccm ni matapeli tuCCM walituambia kuwa MAGUFULI ni mzima anachapa kazi mnataka mmuone anazurura sokoni? Matokeo yake ilikuwa nn! Muongo ni muongo tu ni hulka na tabia ya mtu. Wala siyo chama. Na bado unayodanganywa na CCM ni mengi sana haujajaliwa kuyaona Kwa macho ya nyama
Hivi aliwaambieni kuwa amedaka $ 500,000. toka kwa Abduli?Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Hayo mengine kwa wanasiasa ni kawaida.Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Huyu ni mchungwani si mchungajiSisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Mnisamehe lakini, samahani tena na tena, kwetu zamani hizo wakizaliwa vijitu vifupi kama hivi walikuwa wanavinyonga huko huko "labour room"Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Msigwa ni Tumbili kacharaHuyu tumbili mpumbavu sana
Pole umesahau tumbo lilimponza Esau? Miye nimekaa na wahehe wengi,ni kwamba wako baadhi yenu ni wanafiki sana. Huyu Msigwa ni miongoni mwao wale wanafiki na wasio na aibu,na wapo wahehe ambao ni majasiri sana na hao ni type ya kina Mkwawa, hawa hawezi kulamba matapishi yao ndio hao wa kujinyonga. In short Msigwa is there for his stomach. Kwamba Chadema imechafuka sana baada ya kifo cha JPM!! Ogopa sana mnafiki,waswahili wanasema ni afadhari ya mchawi,miye naona ni bora angefikiria kuanzisha chama au kutafuta chama kingine cha upinzani na viko vingi hata kama ni dhaifu akijenge si ana uzoefu!! Mtu aliyewahi kutamka ccm wana akili ndogo, leo ameingia huko huko,je bado manaamini huyu ana akili kweli, na ccm na akili zenu kama alivyosema huyo Msigwa mnachekelea!!!Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Nakubaliana na wewe kwa💯 mkuu, sababu chanzo cha uwendawzimu ni akili, hauwezi ukawa mwendawazimu kama haujawahi kuwa na akili timamu.Per capita,Chadema ina viongozi wengi wendawazimu kuliko CCM
Aliyehama na waliobaki bado wote ni wadanganyifu tu. Msigwa anaongelewa kwa kuwa amehama chama lakini kuna waliobaki walidanganya kuhusu ufisadi na mpaka wakataja lakini baadaye wakashirikiana na hao mafisadi.Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo chama pekee cha siasa?
Aibu hii utaipeleka wapi? Wewe unajiita mchungaji na mtumishi wa Mungu lkn Bado unadanganya watu?
Kweli wana siasa ni wakuogopwa kama ukoma.
View attachment 3065542
Kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida pindi mtu akihama chama kimoja kwenda chama cha pili.Aliyehama na waliobaki bado wote ni wadanganyifu tu. Msigwa anaongelewa kwa kuwa amehama chama lakini kuna waliobaki walidanganya kuhusu ufisadi na mpaka wakataja lakini baadaye wakashirikiana na hao mafisadi.
Nakuunga mkono kwa 100%Pole umesahau tumbo lilimponza Esau? Miye nimekaa na wahehe wengi,ni kwamba wako baadhi yenu ni wanafiki sana. Huyu Msigwa ni miongoni mwao wale wanafiki na wasio na aibu,na wapo wahehe ambao ni majasiri sana na hao ni type ya kina Mkwawa, hawa hawezi kulamba matapishi yao ndio hao wa kujinyonga. In short Msigwa is there for his stomach. Kwamba Chadema imechafuka sana baada ya kifo cha JPM!! Ogopa sana mnafiki,waswahili wanasema ni afadhari ya mchawi,miye naona ni bora angefikiria kuanzisha chama au kutafuta chama kingine cha upinzani na viko vingi hata kama ni dhaifu akijenge si ana uzoefu!! Mtu aliyewahi kutamka ccm wana akili ndogo, leo ameingia huko huko,je bado manaamini huyu ana akili kweli, na ccm na akili zenu kama alivyosema huyo Msigwa mnachekelea!!!
Vigezo vya kuitwa bwana ,aachiwe tunduLISu hawa wengine waitwa HAWABwana Msigwa na Mwijaku akili zao ni sawa sawa