Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

Kumbe huyu State Agent ni Kibibi kizee fulani hivi?? Ndio maana kina roho mbaya...
Pale nyumbani kwenu! Stigma haikuongezei damu Wala kitambi! Heshimu kazi za wengine ewe Bibi kizee!
 
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara.

Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa Chadema walifanya safari ya kwenda ofisini kwa msimamizi wa uchaguzi na wakiwa njiani risasi ilipigwa na kumuua mwanafunzi wa NIT Akwilina (RIP).

Mchungaji Msigwa ametoa maelezo hayo alipoanza kutoa utetezi wake mbele ya Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu.

Source: ITV habari
Hii inamteteaje yeye? Dah..
 
Hii kesi ni miongoni mwa kesi za hovyo inayoharibu umoja wa taifa letu. Kuna mtawala anakwenda kanisani kupokea mwili wa Kristu kwamba ana moyo safi, hana mawaa.
Umoja wa majizi....acha uharibike tu.
 
Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui

Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
Mbona hafi sasa? Four good years bado yupo tu akituharibia nchi yetu?Anyway E Mungu nisamehe tu maana kwa kweli
 
Kuna upinzani au kuna wachumia tumbo tu? bora ufe uje upinzani wa kweli. Upinzani huu uliokuwa unahongwa na kina Kinana na Mkono si upinzani lolote. Upinzani gani kiongozi mkuu wa upinzani wasifu wake haujulikani lakini bado aliweza kugombea Urais. Bora kaole iishe, upinzani wa uchungu, upinzani usio wa kupiga deal uje!
Wewe mwendawazimu,wasifu wa magufuli unajulikana wapi? kama unajulikana Ben saanane yuko wapi?
 
Wewe mwendawazimu,wasifu wa magufuli unajulikana wapi? kama unajulikana Ben saanane yuko wapi?

Mbowe kamalizia kidato cha nne shule gani? Acha kukimbia swali mtu mwenye akili timamu. Omesha akili zako, jibu hilo tu.
 
Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui

Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
Inawezekana pia hi Ni adhabu kwa viongozi wa Chadema kwa mabaya waliyofanya nyakati tofauti.
Kwa mateso haya wanayopata kupitia huyu umtajae( jpm) yawezekana Ni malipizi.
Tusihukumu.
 
Mbowe kamalizia kidato cha nne shule gani? Acha kukimbia swali mtu mwenye akili timamu. Omesha akili zako, jibu hilo tu.
Kwa hiyo kwa akili yako,wasifu wa mtu maana yake ni elimu yake?Je magufuli kidato cha nne alipata division gani mpaka kuwa na uwezo wa kuwaita wenzake vilaza wakati yeye,mwanae na mke wake wakiwa kwenye kapu hilo hilo pia
 
Mimi sina akili, wewe unazo, haya taja jina la shule aliyosomea Mbowe na kumaliza kidato cha nne. Maelezo marefu unaweza kuandika, unashindwaje kutaja jina tu la shule? Wewe si mwerevu, wewe si unajua, haya onesha werevu wako sasa
 
Mie ninaakili zangu siwezi kushughulika na inputs while output ninayoitaka nininaipata.so sina muda wa kushughulika na shule aliyosoma Mbowe,ninachoshughulika nacho ni je Mbowe ana deliver according to how wanachama wa chadema wabataka?
 
Ukisoma kitabu cha "A Man of the People" by Chinua Achebe.Utaona kati ya Maudhui yanayopatikana mojawapo ni Brutality i.e being unfair to others.Kweli Fasihi inaishi,nareflect Na kinachiendelea Tz unaona ni yaleyale tu
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
 
Mie ninaakili zangu siwezi kushughulika na inputs while output ninayoitaka nininaipata.so sina muda wa kushughulika na shule aliyosoma Mbowe,ninachoshughulika nacho ni je Mbowe ana deliver according to how wanachama wa chadema wabataka?

Humjui Mbowe, hujui lolote kumhusu, ukipata huo ufunguo wa Pandora box angalau, unafanyaje maamuzi wakati huna taarifa sahihi? Ulisikia wapi duniani, kiongozi mkuu was taasisi, aliyewahi kugombea urais wa nchi taarifa zake kuhusu alipopita kupata basic education hazifahamiki? Katika system approach, input INA determine output. Katika machine uweke mahindi ili itokee lami? Never.

Mbowe alimalizia shule gani kidato cha NNE, andika jina tu, usilete input wala output, jima LA shule tu basi
 
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Kwani hiyo kesi inahusu mauwaji ya akwilina?
 
Anacho kifanya msigwa ni sawa na kufikiri kutungisha mimba mwanamke mwenye mimba tayari.
 
Back
Top Bottom