42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Na kama asipounganishwa basi akina mbowe watakuwa wanaonewa...Kama ni hivyo Naibu Waziri TAMISEMI aunganishwe kwenye kesi! Nadhani hana kinga yo yote kikatiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama asipounganishwa basi akina mbowe watakuwa wanaonewa...Kama ni hivyo Naibu Waziri TAMISEMI aunganishwe kwenye kesi! Nadhani hana kinga yo yote kikatiba.
Pale nyumbani kwenu! Stigma haikuongezei damu Wala kitambi! Heshimu kazi za wengine ewe Bibi kizee!
Hii inamteteaje yeye? Dah..Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara.
Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa Chadema walifanya safari ya kwenda ofisini kwa msimamizi wa uchaguzi na wakiwa njiani risasi ilipigwa na kumuua mwanafunzi wa NIT Akwilina (RIP).
Mchungaji Msigwa ametoa maelezo hayo alipoanza kutoa utetezi wake mbele ya Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu.
Source: ITV habari
Umoja wa majizi....acha uharibike tu.Hii kesi ni miongoni mwa kesi za hovyo inayoharibu umoja wa taifa letu. Kuna mtawala anakwenda kanisani kupokea mwili wa Kristu kwamba ana moyo safi, hana mawaa.
Kesi imeanza kabla waitara hajajiunga sisiemu na hakuwa ktk watuhumiwa.Kama ni hivyo Naibu Waziri TAMISEMI aunganishwe kwenye kesi! Nadhani hana kinga yo yote kikatiba.
Huwezi jua huenda mipango ya kujiunga na CCM ilishaanza kabla ya tukio! Ndiyo maana hakuwekwa miongoni mwa watuhumiwa.Kesi imeanza kabla waitara hajajiunga sisiemu na hakuwa ktk watuhumiwa.
Mbona hafi sasa? Four good years bado yupo tu akituharibia nchi yetu?Anyway E Mungu nisamehe tu maana kwa kweliNakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui
Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
Wewe mwendawazimu,wasifu wa magufuli unajulikana wapi? kama unajulikana Ben saanane yuko wapi?Kuna upinzani au kuna wachumia tumbo tu? bora ufe uje upinzani wa kweli. Upinzani huu uliokuwa unahongwa na kina Kinana na Mkono si upinzani lolote. Upinzani gani kiongozi mkuu wa upinzani wasifu wake haujulikani lakini bado aliweza kugombea Urais. Bora kaole iishe, upinzani wa uchungu, upinzani usio wa kupiga deal uje!
Wewe mwendawazimu,wasifu wa magufuli unajulikana wapi? kama unajulikana Ben saanane yuko wapi?
Inawezekana pia hi Ni adhabu kwa viongozi wa Chadema kwa mabaya waliyofanya nyakati tofauti.Nakuhakikishia kuwa Mungu yupo na ni lazima atatenda jambo kwa Magufuli katika muda muafaka, ambao sisi binadamu hatuujui
Maandiko ya kitabu kitakatifu cha Biblia yanasema kuwa Mungu ni wa haki, na mradi tu Magufuli hatendi haki katika utawala wake, ni LAZIMA tu atashughukikiwa
Kwa hiyo kwa akili yako,wasifu wa mtu maana yake ni elimu yake?Je magufuli kidato cha nne alipata division gani mpaka kuwa na uwezo wa kuwaita wenzake vilaza wakati yeye,mwanae na mke wake wakiwa kwenye kapu hilo hilo piaMbowe kamalizia kidato cha nne shule gani? Acha kukimbia swali mtu mwenye akili timamu. Omesha akili zako, jibu hilo tu.
Kwa hiyo kwa akili yako,wasifu wa mtu maana yake ni elimu yake?Je magufuli kidato cha nne alipata division gani mpaka kuwa na uwezo wa kuwaita wenzake vilaza wakati yeye,mwanae na mke wake wakiwa kwenye kapu hilo hilo pia
Mie ninaakili zangu siwezi kushughulika na inputs while output ninayoitaka nininaipata.so sina muda wa kushughulika na shule aliyosoma Mbowe,ninachoshughulika nacho ni je Mbowe ana deliver according to how wanachama wa chadema wabataka?Mimi sina akili, wewe unazo, haya taja jina la shule aliyosomea Mbowe na kumaliza kidato cha nne. Maelezo marefu unaweza kuandika, unashindwaje kutaja jina tu la shule? Wewe si mwerevu, wewe si unajua, haya onesha werevu wako sasa
Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!
Makalioni mwakoHuyu mchungaji mihogo anakanisa wapi?
State agent
Mie ninaakili zangu siwezi kushughulika na inputs while output ninayoitaka nininaipata.so sina muda wa kushughulika na shule aliyosoma Mbowe,ninachoshughulika nacho ni je Mbowe ana deliver according to how wanachama wa chadema wabataka?
Kwani hiyo kesi inahusu mauwaji ya akwilina?Hivi kesi hii ina tija gani kwa nchi yetu kama sio uhuni na ubabe wa Rais Magufuli tu?Polisi walishakri kuhusika na mauaji ya Akwilina na walishafutiwa mashtaka lakini kesi WAMEBAMBIKIWA VIONGOZI WA
CHADEMA ILI KUWAKOMOA TU!
Wakti jirani zetu wa Kenya wanatafuta mwafaka na umoja wa kitaifa kupitia BBI sisi Tanzania ndo kwanza CCM wanaweka mikakati ya kuhakikisha Upinzani unakufa kwa gharama yoyote!