Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

Ama kweli tujilinde na kauli zetu wana ndugu hizi kauli za kibaguzi ni hatari sana tuna sahau kuwa sisi n binadamu na ni watanzania.

Nimejifunza kitu kuwa hapa.

Haina maana tusiseme ukweli hata kama unauchukia ukweli.Mtikila alisimamia ukweli siku zote
 
Nniniisimba umetisha kwa utabiri wako,hakika dalili uliziona sina hakika kuhusu kutubu kwake,poleni wafiwa we belong to god and for him we shall return inna rilai wain rilai rajuuni...kuna somo la kujifunza kukashfu afya za watu,pole vengu mungu akupe hafueni...poleni familia ya capt komba na kombani.
 
Last edited by a moderator:
Anaonesha dalili za kufa kweli huyu na asipotubu hakika yatamkuta ya kutisha, Mchungaji anakosa busara kiasi hiki???????

Mmmmh!!! Wiki moja imetosha kwa unabii wako kutimia aisee. Heshima kwako Mkuu.
 
Ee mungu mweke pahara anapostahili kutoka kuchunga kondoo mpaka mpiga dili na mchonganishi. Hakika mungu anastahili
 
Kaondolewa katika Ramani ya dunia Ss
Kazungumzia chacha wangwe Na yy yamemkuta
 
mchungaji mtikila amezidi kusisitiza kuwa wahusika wakuu wa kifo cha chacha wangwe ni viongozi wa chadema, ushahidi anao na muda wowote ushahidi huo ukihitajika ataufikisha mahakamani.

kwa mantiki hi ina maana kifo hiki ni kama "kuna mkono wa mtu". Ilitakiwa awahishwe apotezeye. Ogopa ushahidi.
 
kwa mantiki hi ina maana kifo hiki ni kama "kuna mkono wa mtu". Ilitakiwa awahishwe apotezeye. Ogopa ushahidi.

Mtaongea sana tu. Mkono wa mtu upo kwa mtoto wa Shekh Yahaya maana alisema yatatokea ya hivi. Wanafiki hufa vifo vibaya. Tumtangulize mungu katika kauli zetu.
 
Back
Top Bottom