Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

amekwenda na ushahidi wake ..

Eeh Mwenyezi Mungu umpatie pumziko la amani.
 
Sasa mpelekee salamu kuzimu sisi tutamchagua Lowassa ila yeye hata anayemtaka hawezi kumchagua Utukufu wa Mungu ni wa Milele!

Freemason lowasa inawamaliza wapinzani wako wa kisiasa e mungu liokoe taifa,
 
Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.

Kweli nimeamini lowasa ni pepo linalotafuna taifa,wapinzani wake anawamaliza,e mungu tusaidie,
 
Last edited by a moderator:
Freemason lowasa inawamaliza wapinzani wako wa kisiasa e mungu liokoe taifa,

Binadam wanasahau hakuna mwenye dhamana ya uhai hasa wakiwa ndani ya madaraka wanalewa.Hakuna ajuaye kesho yake wala mwisho wake.kifo ni kifo na ugonjwa sio kifo.
 
Anaonesha dalili za kufa kweli huyu na asipotubu hakika yatamkuta ya kutisha, Mchungaji anakosa busara kiasi hiki???????

Mkuu kama ulikuwa hujui una kipaji cha kutabiri sasa jua wazi... Anza kupiga hela..
 
R.I.P,Mungu akusamehe kwa matusi yoote uliyomtukana Lowasa,akika alikaa kimya Lowasa,akika kimnya kingi ni sauti ya Mungu,Upumzike kwa Aman!
 
Anaonesha dalili za kufa kweli huyu na asipotubu hakika yatamkuta ya kutisha, Mchungaji anakosa busara kiasi hiki???????
Usiogope, Mungu wetu ni mwema. Alikutumia wewe kututaadhalisha na kauli zetu za kumkashifu! Baadhi hawakusikia na kumgeukia yeye. Imarisha Imani yako. Usiyumbe, Mungu anakusudio jema na Watanzania.
-----
R.I.P Mch.Mtikila
 
Ama kweli tujilinde na kauli zetu wana ndugu hizi kauli za kibaguzi ni hatari sana tuna sahau kuwa sisi n binadamu na ni watanzania.

Nimejifunza kitu kuwa hapa.
 
Back
Top Bottom