mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
CCM baada ya mtikila atakuja NANI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatoa siri zote mchungaji kawashika pabayaWagonjwa wa akili wanatakiwa Milembe, by the way, alishalipa hela aliyokopeshwa na Rostam Aziz?
hata wanyama wanaweza kuwa na busara katika maamuzi ila mtikila anashangaa wanaomshabikia edward lowassa ambaye ni mwizi na kwa uchafu alioufanya nchi hii kama ingalikua ni china angeshanyongwa muda mrefu sana,awataka watanzania waache ushabiki.
Anaenda mbali zaidi alipozungumzia afya ya edward lowassa na kusema maradhi alionayo yanaathiri kichwani.
Kuhusu taarifa za tafiti zilizofanywa na twaweza mtikila anamshukuru mungu kwani wanaomuunga mkono edward lowassa fisadi ni wachache.
Anaendambali kwakusema watu wanaomshabikia edward lowassa wanautahaira nusu(epedomia) anasisitiza watanzania tuwe makini na huyu fisadi.
Anasema ukiachilia mbali matatizo yao ni afadhali ya magufuli awe raisi wa nchi.
Mfano anatoa mfano wa afya zao edward lowassa ni mgonjwa na hatuwezi geuza ikulu kua icu ya wagonjwa.na anasema mficha maradhi mauti humuumbua na anasisitiza edward lowassa angejikita kwenye afya yake kwanza.
Anakumbusha wizi wa edward lowassa ambao alituongopea akaahidi kwenda kutununulia mvua na kutumia pesa nying na hatimae mvua yakununua ikawa ni uongo mtupu.
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.
Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa
Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.
WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
hivi kila dili kubwa kubwa nchi hii lowasa yumo,jamaani ama kweli huyu mtu ni mbaya sana hasa kwa taifa letu changa,tumkwepe kama ukoma ,mm nitamchagua mwadilifu ili anitumikie kwa manufaa ya taifa langu la tz
APELEKE NJAA ZAKE C.C.M, Kwanza Ile Nyumba Ya Mjane Aliyetaka Kumdhurumu Ameshamrejeshea Yule Mjane? Alitangaze Na Hilo,
Sasa nashangaa anahojiwa eti ingekuwa wewe ungefanya nn hiki na kile, ya nn sasa? Anaulizwa sera ya elimu ya chama chake Ili iweje? Mtikila si mgombea...